Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hawa Ghasia afagilia fao la elimu la LAPF

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, amesema fao la mkopo wa elimu linalotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF, ni msaada mkubwa kwa waajiri nchini ikiwemo Serikali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Hawa Ghasia awataka LAPF wajitangaze

>Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia ameutaka mfuko wa pensheni wa LAPF kutangaza fao la mkopo wa nyumba walitoalo ili wananchi wajiunge na kunufaika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

LAPF yaanzisha fao la Elimu

WANACHAMA wa Mfuko wa Penseni wa LAPF watanufaika na fao jipya la Elimu lilozinduliwa hivi karibuni hapa nchini. Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’ limelenga kuwakopesha wanachama wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanachama LAPF kunufaika fao la elimu

WANACHAMA wa mfuko wa Pensheni wa LAPF wanatarajiwa kunufaika na fao jipya la elimu lililozinduliwa hivi karibuni hapa nchini. Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’, limelenga kuwakopesha wanachama...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI HAWA GHASIA AZINDUWA BODI MPYA YA WADHAMINI YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF

 Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa (kulia), akimkabidhi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia picha yenye nembo ya mfuko huo kwenye  hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya wadhamini ya mfuko wa LAPF na kuiaga bodi iliyomaliza muda wake iliyofanyika makao makuu ya mfuko huo Dar es Salaam jana.  Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa (kulia),...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Hawa Ghasia azinduwa bodi mpya ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF, jijini Dar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ua wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Dar es Salaam jana.

2

Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa, akizungumza katika hafla hiyo.

Waziri wa Kazi na Ajira Gaudentia Kabaka akichangia jambo kwenye uzinduzi huo.

Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga akizungumza machache kwenye uzinduzi huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Fao la ‘Piga Kitabu LAPF’ liwanufaishe wanachama wote

Hivi karibuni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia alizindua fao jipya la ‘Piga Kitabu na LAPF’ linalolenga kuwakopesha fedha wanachama wa mfuko huo wanaotaka kusoma katika vyuo vya elimu ya juu nchini.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI HAWA GHASIA AWATIMUA WAKURUGENZI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (pichani) leo amewavua madaraka wakurugenzi wa Kasulu, Bunda, Serengeti, Mkuranga, Sengerema, Kaliua kwa uzembe wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

PPF na neema ya fao la elimu kwa wategemezi

MFUKO wa Pensheni wa PPF unajivunia kuwa mfuko wa kwanza wa hifadhi ya jamii nchini kutoa fao la elimu ambalo mpaka sasa wamesomesha zaidi ya wanafunzi 2000. Fao hili hutolewa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Hawa Ghasia azindua mafunzo ya madereva wa mabasi ya mwendo kasi Dar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka uliofanyika  Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo Dar es Salaam jana asubuhi. Kulia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akijaribu kuendesha moja ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani