LAPF yaanzisha fao la Elimu
WANACHAMA wa Mfuko wa Penseni wa LAPF watanufaika na fao jipya la Elimu lilozinduliwa hivi karibuni hapa nchini. Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’ limelenga kuwakopesha wanachama wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Wanachama LAPF kunufaika fao la elimu
WANACHAMA wa mfuko wa Pensheni wa LAPF wanatarajiwa kunufaika na fao jipya la elimu lililozinduliwa hivi karibuni hapa nchini. Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’, limelenga kuwakopesha wanachama...
10 years ago
Habarileo22 Feb
Hawa Ghasia afagilia fao la elimu la LAPF
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, amesema fao la mkopo wa elimu linalotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF, ni msaada mkubwa kwa waajiri nchini ikiwemo Serikali.
10 years ago
Habarileo22 Apr
ZSSF yaanzisha fao la uzazi
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema kuanzishwa kwa fao la uzazi katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Zanzibar (ZSSF) ni matokeo ya juhudi za Serikali za kupambana na kupunguza vifo vya wanawake wajawazito na watoto nchini.
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Fao la ‘Piga Kitabu LAPF’ liwanufaishe wanachama wote
11 years ago
Habarileo06 Jul
NSSF yaanzisha Fao la Kifo kwa watanzania wa nje
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) imeanzisha fao la kifo kwa watanzania wanaoishi nje ya nchi, ambapo pia wategemezi wao wanne waliopo nchini, watanufaika nalo.
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
PPF na neema ya fao la elimu kwa wategemezi
MFUKO wa Pensheni wa PPF unajivunia kuwa mfuko wa kwanza wa hifadhi ya jamii nchini kutoa fao la elimu ambalo mpaka sasa wamesomesha zaidi ya wanafunzi 2000. Fao hili hutolewa...
10 years ago
StarTV28 Dec
Mifuko Hifadhi ya Jamii yahimizwa kuboresha fao la elimu.
Na Ramadhani Mvungi, Arusha.
Mifuko ya hifadhi ya Jamii Nchini imepewa changamoto ya kuboresha sera zake za fao la elimu ziendane na wakati uliopo.
Hatua hii itawawezesha watoto wa wanachama walio katika sekta za umma na binafsi kupata fursa ya elimu pindi wazazi wanapofariki ama kukosa uwezo wa kufanya kazi.
Licha ya hamasa ndogo waliyonayo wananchi hususani kutoka sekta binafsi katika kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii, haki ya fao la elimu ambalo sio la mkopo linatajwa kuwa muhimu...
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Bayport yamfuta machozi Latifa Juma kupitia fao la Bima ya Elimu kwa Uwapendao
![](http://2.bp.blogspot.com/-FvRe9FFH7q4/VYk1UX58zSI/AAAAAAAAI-A/d17FJFglTXY/s640/20150623_111002.jpg)
Mratibu wa Bima ya Elimu kwa Uwapendao kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ruth Bura, kushoto akimkabidhi hundi Latifa Juma yenye thamani ya Tsh 3,000,000, baada ya mzazi wake Juma Said, aliyekuwa Mchapa Vitabu wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, jijini Dar es Salaam. Kulia ni mume wa Latifa, anayeitwa Bakari Msumi. (Picha zote kwa Hisani ya Bayport Financial Services).
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services, leo jioni imemkabidhi...
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
LAPF yageukia elimu
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Serikali za Mitaa (LAPF), umeanza kutoa mkopo wa elimu kwa wanachama kwa lengo la kuwasaidia wanaotaka kujiendeleza kielimu kwa kuwalipia ada ya masomo. Akizungumza na waandishi...