Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF yaanzisha Fao la Kifo kwa watanzania wa nje

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) imeanzisha fao la kifo kwa watanzania wanaoishi nje ya nchi, ambapo pia wategemezi wao wanne waliopo nchini, watanufaika nalo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

LAPF yaanzisha fao la Elimu

WANACHAMA wa Mfuko wa Penseni wa LAPF watanufaika na fao jipya la Elimu lilozinduliwa hivi karibuni hapa nchini. Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’ limelenga kuwakopesha wanachama wa...

 

10 years ago

Habarileo

ZSSF yaanzisha fao la uzazi

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema kuanzishwa kwa fao la uzazi katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Zanzibar (ZSSF) ni matokeo ya juhudi za Serikali za kupambana na kupunguza vifo vya wanawake wajawazito na watoto nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Tumaini yaanzisha vurugu NSSF Cup

Mchezo wa robo fainali ya pili ya kombe la NSSF kati ya Mwananchi Queens na Free Media jana uliingia dosari baada ya timu ya Tumaini kuvamia Uwanjani na kuanzisha vurugu.

 

10 years ago

Vijimambo

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje amuaga Mwakilishi wa FAO nchini

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akimkaribisha Mwakilishi wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (F.A.O) nchini Bi. Diana E. Tempelman alipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi wa Shirika hilo hapa nchini. Mhe. Dkt. Mahadhi akizungumza na Bi. Diana kwa kumpongeza kwa uwakilishi wake mzuri wa Shirika la FAO hapa nchini Bi. Diana nae akitoa neno la shukrani kwa Naibu Waziri kwa...

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.

Bw Kisasi mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi. Bi Rosemary Chambe Jairo Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.…

 

11 years ago

Michuzi

NSSF yatambulisha bima ya ''WESTADI'' kwa watanzania waishio Ughaibuni

Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza ukishirikiana na Urban Pulse Creative Media wanakuletea ziara ya Raisi Jakaya Kikwete London Tarehe 30.3.14 kukutana na watanzania waishio uingereza.
Kabla ya kuwasili kwake mh Rais shirika la NSSF lilipata fursa ya kutambulisha bima ya ''WESTADI'' kwa watanzania wote waishio Ughaibuni ili kuwawezesha kupata unafuu wa kusafirisha mwili au mazishi pale popote alipo mara anapofariki ughaibuni. Pia Bima hio kusaidia matibabu kwa ndugu na jamaa kadhaa...

 

10 years ago

Mwananchi

HOJA BINAFSI: Nasaha kwa Watanzania wanaoulizia wafadhili wa nje

>Mafanikio maishani yanahitaji ,abo mawili; kutojua  na kujiamini,” aliandika mtunzi maarufu wa riwaya, Mark Twain. Zamani shuleni tulisoma vitabu vya Mark Twain vinavyofundishia Kiingereza ulimwengu mzima. Kati ya riwaya ya sifa na sambusa ni The Adventures of Huckleberry Finn.

 

9 years ago

Michuzi

MHAGAMA: Msiajiri wataalam kutoka nje kwa kazi wanazoweza kufanya watanzania

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb), akisisitiza kutoa kipaumbele cha ajira kwa wataalam wa kitanzania wenye taaluma sawa na wataalamu wasio watanzania wakati alipokutana na Menejimenti ya Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TAESA), tarehe 23 Desemba, 2015, (katikati) ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Anthony Mavunde (Mb), na Kaimu Mkuu mtendaji wa Wakala wa Huduma...

 

10 years ago

GPL

FRANCIA CHENGULA AZUNGUMZIA UPIGAJI KURA KWA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI

Msanii wa muziki, Francia Chengula akiuliza swali kuhusu kwa nini Watanzania waliopo nje ya nchi hawaruhusiwi kupiga kura aidha kwa vyama au kwenye chaguzi kuu. Francia aliuliza swali hili wakati wa Semina ya Viongozi wa mashina ya CCM ya Uingereza iliyo fanyika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani