NSSF yatambulisha bima ya ''WESTADI'' kwa watanzania waishio Ughaibuni
Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza ukishirikiana na Urban Pulse Creative Media wanakuletea ziara ya Raisi Jakaya Kikwete London Tarehe 30.3.14 kukutana na watanzania waishio uingereza.
Kabla ya kuwasili kwake mh Rais shirika la NSSF lilipata fursa ya kutambulisha bima ya ''WESTADI'' kwa watanzania wote waishio Ughaibuni ili kuwawezesha kupata unafuu wa kusafirisha mwili au mazishi pale popote alipo mara anapofariki ughaibuni. Pia Bima hio kusaidia matibabu kwa ndugu na jamaa kadhaa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog21 Apr
Fundraising Dinner Columbus yafana Balozi Liberata Mulamula asisitiza Watanzania Ughaibuni wajiunge na Bima ya Westadi
Mhe. Liberata Mulamula akipokewa na mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri mara tu alipowasili kwenye fundraisng dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio iliyofanyika Comfort Inn siku ya Jumamosi April 19, 2014.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiingia ukumbini akiwa ameongozana na mweka hazima Bi. Vera Teri.
Mjumbe Michael Mnngodo akiutambulisha uongozi wa Jumuiya kwa Mhe. Balozi Libarata Mulamula na mumewe.
Mjumbe Chiseko Hamisi akielezea mfuko na kazi za mfuko huo na...
10 years ago
GPL10 years ago
Mtanzania13 Apr
Pinda: Watanzania waishio ughaibuni hawatapiga kura
MWANDISHI WETU, LONDON
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Alisema pamoja na kwamba Watanzania hao wanatakiwa kupiga kura wakati wa uchaguzi huo, jambo hilo halitawezekana kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya uchaguzi huo.
Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo jana kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter...
10 years ago
GPLWATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.
11 years ago
MichuziFUNDRAISING DINNER COLUMBUS YAFANA BALOZI LIBERATA MULAMULA ASISITIZA WATANZANIA UGHAIBUNI WAJIUNGE NA BIMA YA WESTAD
Mhe. Liberata Mulamula akipokewa na mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri mara tu alipowasili kwenye fundraisng dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio iliyofanyika Comfort Inn siku ya Jumamosi April 19, 2014.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiingia ukumbini akiwa ameongozana na mweka hazima Bi. Vera Teri. Kwa habari kamili na picha kibao
BOFYA HAPA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6UmQFqx-edg/Uyya8bTscPI/AAAAAAAFVkc/0gObDx57SaQ/s72-c/unnamed+(3).jpg)
TANGAZO KWA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA
![](http://1.bp.blogspot.com/-6UmQFqx-edg/Uyya8bTscPI/AAAAAAAFVkc/0gObDx57SaQ/s1600/unnamed+(3).jpg)
Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Forty Avenue, Wembley Park, London, Middx, HA9 9BE, kuanzia saa 10 jioni (16:00).
Katika Mkutano huo, Mhe.Rais Kikwete atazungumzia maendeleo ya nchi yetu na pia kutumia fursa hiyo...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-480fMhr3RS0/U_1hkzLIz2I/AAAAAAAC6v8/6wGUmqP1w-A/s72-c/STanzaniaEm14082617540_0001.jpg)
11 years ago
MichuziMAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WAISHIO UGHAIBUNI KUPENDANA
Rai hiyo imetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wafanya biashara na wajasiriamali kutoka majimbo ya Washington DC, Wilaya ya Colombia, Maryland na Virginia katika ukumbi wa mikutano wa ubalozi wa...
11 years ago
GPL20 Feb