Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WAISHIO UGHAIBUNI KUPENDANA

 Wanawake wa kitanzania waishio Ughaibuni wamewatakiwa kuondoa tofauti zao za mitizamo, maoni, dini na makabila bali wapendane, kuaminiana na kushirikiana ili kwa pamoja waweze kukabiliana na changamoto mbalimbali  zinazowakabili na hivyo kujiletea maendeleo.
Rai hiyo imetolewa  jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wafanya biashara na wajasiriamali  kutoka majimbo ya Washington DC, Wilaya ya Colombia, Maryland na Virginia katika ukumbi wa mikutano wa ubalozi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WENYE UGONJWA WA FISTULA KUJITOKEZA NA KWENDA KUPATA MATIBABU

Na Anna Nkinda – Maelezo aliyekuwa Lindi
Wanawake wenye tatizo la ugonjwa wa Fistula wametakiwa kutokuogopa na kukaa kimya bali wajitokeze  hadharani kwa kwenda Hospitali kupata matibabu  au kuwaambia viongozi wao ili waweze kuwasaidia kwani ugonjwa huo unatibika na matibabu yake ni bure.
Rai hiyo imetolewa  hivi karibuni na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na viongozi wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI KATIKA UCHAGUZI UJAO

Na Anna Nkinda – Maelezo, aliyekuwa Nachingwea
Wanawake nchini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kugombea  nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji  utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu  ili waweze kuingia katika ngazi ya maamuzi. 
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanachama wa chama hicho wa wilaya ya Nachingwea...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Kikwete awataka Wanawake Wajasiriamali kutengeneza bidhaa ambazo soko lake linapatikana kirahisi

unnamed (30)

   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea wakati wa uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live.

Na Anna Nkinda – Maelezo

Wanawake wajasiriamali nchini wametakiwa kutengeneza bidhaa ambazo zinahitajika kwa wingi na watumiaji na kuacha kung’ang’ania  kutengeneza bidhaa ambazo  soko lake ni dogo.

Mwito  huo umetolewa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati wa uzinduzi wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Watanzania waishio ughaibuni hawatapiga kura

Mizengo-PindaMWANDISHI WETU, LONDON
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Alisema pamoja na kwamba Watanzania hao wanatakiwa kupiga kura wakati wa uchaguzi huo, jambo hilo halitawezekana kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya uchaguzi huo.
Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo jana kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani