Mama Kikwete awataka Wanawake Wajasiriamali kutengeneza bidhaa ambazo soko lake linapatikana kirahisi
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea wakati wa uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live.
Na Anna Nkinda – Maelezo
Wanawake wajasiriamali nchini wametakiwa kutengeneza bidhaa ambazo zinahitajika kwa wingi na watumiaji na kuacha kung’ang’ania kutengeneza bidhaa ambazo soko lake ni dogo.
Mwito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati wa uzinduzi wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WAISHIO UGHAIBUNI KUPENDANA
Rai hiyo imetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wafanya biashara na wajasiriamali kutoka majimbo ya Washington DC, Wilaya ya Colombia, Maryland na Virginia katika ukumbi wa mikutano wa ubalozi wa...
11 years ago
GPLMAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA WANAWAKE WATANZANIA WAJASIRIAMALI WA DMV JIJINI WASHINGTON
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-KoO36F3BfSM/U9YcUpTr1hI/AAAAAAAF7UY/0tmPxLKgVgY/s72-c/4mama-salma-akisoma-hotuba-1024x682.jpg)
MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WENYE UGONJWA WA FISTULA KUJITOKEZA NA KWENDA KUPATA MATIBABU
![](http://4.bp.blogspot.com/-KoO36F3BfSM/U9YcUpTr1hI/AAAAAAAF7UY/0tmPxLKgVgY/s1600/4mama-salma-akisoma-hotuba-1024x682.jpg)
Wanawake wenye tatizo la ugonjwa wa Fistula wametakiwa kutokuogopa na kukaa kimya bali wajitokeze hadharani kwa kwenda Hospitali kupata matibabu au kuwaambia viongozi wao ili waweze kuwasaidia kwani ugonjwa huo unatibika na matibabu yake ni bure.
Rai hiyo imetolewa hivi karibuni na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na viongozi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JvwpcLFU-ro/VFeB5zFPfoI/AAAAAAAGvSo/qhpeg93nFa8/s72-c/22%2B(1).jpg)
MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI KATIKA UCHAGUZI UJAO
![](http://4.bp.blogspot.com/-JvwpcLFU-ro/VFeB5zFPfoI/AAAAAAAGvSo/qhpeg93nFa8/s1600/22%2B(1).jpg)
Wanawake nchini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu ili waweze kuingia katika ngazi ya maamuzi.
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanachama wa chama hicho wa wilaya ya Nachingwea...
10 years ago
Mwananchi27 Jul
‘Wanawake wajasiriamali litumieni soko la EAC’
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Mkuu wa Mkoa wa Arusha awataka wajasiriamali wa viwanda vidogo vidogo kutengeneze bidhaa zenye ubora
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la Wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya SIDO.
Baadhi ya bidhaa za Shanga zilizopo katika maonyesho ya SIDO.
Mkurugenzi wa Taha, Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwa na Shanga zilizopo katika viwanja vya Makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka viwanda vidogo vidogo.
Wahazabe wakiendelea kutengeneza Mikuki yao.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PguvS0TgIPY/XvXrLfqS5CI/AAAAAAALvio/jcfCWgcxwA0USMWqPO2yxWYPrsOJgXUuwCLcBGAsYHQ/s72-c/SABUNI%2B1.jpeg)
WANAWAKE WAJASIRIAMALI VISIWANI PEMBA WASHAURIWA KUTUMIA VIZURI NEEMA YA ZAO LA KARAFUU ILI KUZALISHA BIDHAA
Na Muhammed Khamis-TAMWA-Zanzibar
MKURUGENZI wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake( TAMWA- Zanzibar) Dkt.Mzuri Issa amewashauri wanawake wajasiriamali kisiwani Pemba kutumia vizuri neema ya zao la Karafuu kisiwani humo kwa kuzalisha bidhaa mbali mbali.
Dkt Mzuri aliyasema hayo leo Juni 27,2020 wakati alipokua akitizama baadhi ya bidhaa
zinazozalishwa na wajasirimaali hao kutoka Pemba huko ofisini kwake
Tunguu Wilaya ya kati Unguja.
Amesema zao la karafuu linaweza kuzalisha bidhaa mbali...
11 years ago
Habarileo06 Jul
Wanawake wajasiriamali wamvutia Mama Salma
MKE wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete juzi alitembelea Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba' na kueleza kuwa amefurahishwa na juhudi zinazofanywa na wajasiriamali hasa wanawake.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-63rH2pkEg94/Vm1czhDU-hI/AAAAAAAAIag/JUcFvCXVC5s/s72-c/0d3d983d-b935-46f7-adc6-f3ac0c76c4ec.jpg)
MAMA SHEKHA NASSER ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WA JIJI LA DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-63rH2pkEg94/Vm1czhDU-hI/AAAAAAAAIag/JUcFvCXVC5s/s640/0d3d983d-b935-46f7-adc6-f3ac0c76c4ec.jpg)
Ikiwa ni utamaduni wa kampuni yake kufanya sherehe ya kuuaga mwaka alitumia kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na wanawake Wajasiriamali wa Taasisi yake aliyoianzisha ya Manjano Foundation ambayo amewawezesha kwa kuwapa mafunzo ya ujasiriamali...