MAMA SHEKHA NASSER ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WA JIJI LA DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-63rH2pkEg94/Vm1czhDU-hI/AAAAAAAAIag/JUcFvCXVC5s/s72-c/0d3d983d-b935-46f7-adc6-f3ac0c76c4ec.jpg)
Mama Shekha Nasser Akikata Keki ikiwa ni kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.Mama Shekha Nasser aliamua kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kula mlo wa jioni pamoja na wafanyakazi wake wote wakiwa na washiriki wa Manjano Dream-makers.
Ikiwa ni utamaduni wa kampuni yake kufanya sherehe ya kuuaga mwaka alitumia kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na wanawake Wajasiriamali wa Taasisi yake aliyoianzisha ya Manjano Foundation ambayo amewawezesha kwa kuwapa mafunzo ya ujasiriamali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OzPXjnvvan8/Vm1c-MbjtHI/AAAAAAAAIbA/B9C4PnhkpRs/s72-c/871ba5f9-5e0a-42c6-9dfa-90ecdb2d38f4.jpg)
SHEKHA NASSER wa Shear illusions ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-OzPXjnvvan8/Vm1c-MbjtHI/AAAAAAAAIbA/B9C4PnhkpRs/s640/871ba5f9-5e0a-42c6-9dfa-90ecdb2d38f4.jpg)
siku kadhaa zilizopita, Shekha alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kujumuika pamoja na wafanyakazi wake katika kusherehekea siku yake hiyo ya kuzaliwa kwa kula mlo wa jioni pamoja pia na washiriki wa Manjano Dream-makers.
Ikiwa ni utamaduni wa kampuni yake kufanya sherehe ya kuuaga mwaka alitumia kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na...
10 years ago
GPLWEMA SEPETU ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
10 years ago
Vijimambo20 Jan
ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
10 years ago
CloudsFM26 Jan
MTANGAZAJI WA CLOUDS FM, HUSNA ABDUL ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KATIKA HOSPITALI YA AMANA.
MTANGAZAJI wa Clouds kupitia kipindi cha Leo Tena Husna Abdul jana alisherekea siku yake ya kuzaliwa katika Hospitali ya Amana ambako alizaliwa miaka kadhaa iliyopita.
Husna Abdul ambaye pia ameteuliwa kuwa BALOZI WA KUJITOLEA WA WATOTO katika hospitali hiyo, leo aliambatana na wafanyakazi wa Clouds, wasanii wa muziki, wadau na wasikilizaji wa clouds.
Husna alitoa misaada ya vifaa tiba katika wodi ya wazazi katika hospitali hiyo ya Amana, kama sehemu ya maadhimisho ya siku yake ya kuzaliwa.
Kwa...
9 years ago
MichuziMPIGANAJI WA MTAA KWA MTAA BLOG,MR. PENGO WA MBEYA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
9 years ago
VijimamboMAMA SAMIA AKUTANA NA WANAWAKE WA UWT, WALEMAVU NA WAJASIRIAMALI MKOA WA DAR ES SALAAM KUJUA CHANGAMOTO ZAO
10 years ago
VijimamboPSPF YA UNGANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA HAFRA YA KUENDELEZA UMOJA WA WAJASIRIAMALI DAR ES SALAAM
10 years ago
Bongo Movies02 Jan
Lulu Amzawadia Nyumba Mama Yake Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.
Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria...
10 years ago
GPLDIDA ASHEREKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE