ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Zainabu 'IKOTA' Mhamila kushoto akimlisha keki mama yake mzazi Asha Kamnyanga wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika juzi nyumbani kwao buguruni Lozana
Zainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika pozi uku akiwa na keki yake
Zainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na rafikizake siku ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa
Zainabu 'IKOTA' Mhamila kushoto akimlisha keki mama yake mzazi Asha Kamnyanga wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika...
Vijimambo