MPIGANAJI WA MTAA KWA MTAA BLOG,MR. PENGO WA MBEYA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Kutoka shoto ni Mpiganaji Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo akimlisha Keki Mama yake Mzazi Stumai Maneno kama heshima katika Hafla ya Sherehe ya kuzaliwa kwa mwana Libeneke Fadhiri Atick kutimiza Miaka kadhaa iliyo fanyika nyumbani kwao huko jijini mbeya jana Tar.07-09-2015.
Kutoka kulia ni Tecla Rashid na Fadhiri Atiki akizungumza jambo katika Hafla hiyo....
Kutoka Shoto ni Mrs.Lweja akimpongeza Mwanalibeneke Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Katika HafLa hiyo ya kusherehekea Siku ya Kuzaliwa kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ABCvuFCCgKc/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ZDBt_bleUvc/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Rt5GttNwz4g/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/CmS5YsFRpA4/default.jpg)
10 years ago
Michuzi27 Oct
10 years ago
Michuzi22 Nov
10 years ago
Michuzi07 Nov
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/w_AVFvjVNp4/default.jpg)
10 years ago
GPLWEMA SEPETU ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA