Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONYESHO YA WATANZANIA WAISHIO UGHAIBUNI YAMALIZIKA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Watanzania waishio ughaibuni hawatapiga kura

Mizengo-PindaMWANDISHI WETU, LONDON
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Alisema pamoja na kwamba Watanzania hao wanatakiwa kupiga kura wakati wa uchaguzi huo, jambo hilo halitawezekana kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya uchaguzi huo.
Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo jana kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF yatambulisha bima ya ''WESTADI'' kwa watanzania waishio Ughaibuni

Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza ukishirikiana na Urban Pulse Creative Media wanakuletea ziara ya Raisi Jakaya Kikwete London Tarehe 30.3.14 kukutana na watanzania waishio uingereza.
Kabla ya kuwasili kwake mh Rais shirika la NSSF lilipata fursa ya kutambulisha bima ya ''WESTADI'' kwa watanzania wote waishio Ughaibuni ili kuwawezesha kupata unafuu wa kusafirisha mwili au mazishi pale popote alipo mara anapofariki ughaibuni. Pia Bima hio kusaidia matibabu kwa ndugu na jamaa kadhaa...

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.

Bw Kisasi mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi. Bi Rosemary Chambe Jairo Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.…

 

11 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WAISHIO UGHAIBUNI KUPENDANA

 Wanawake wa kitanzania waishio Ughaibuni wamewatakiwa kuondoa tofauti zao za mitizamo, maoni, dini na makabila bali wapendane, kuaminiana na kushirikiana ili kwa pamoja waweze kukabiliana na changamoto mbalimbali  zinazowakabili na hivyo kujiletea maendeleo.
Rai hiyo imetolewa  jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wafanya biashara na wajasiriamali  kutoka majimbo ya Washington DC, Wilaya ya Colombia, Maryland na Virginia katika ukumbi wa mikutano wa ubalozi wa...

 

10 years ago

Habarileo

JK aaga Watanzania ughaibuni

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kuaga Watanzania kila anapopata fursa ya kukutana nao, huku mafanikio ya miaka kumi ya uongozi wake yakijidhihirisha katika maeneo mbalimbali, ikiwemo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambako Bajeti ya Serikali kupitia wizara mbalimbali imekuwa ikijadiliwa na kupitishwa.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Watanzania waishio Yemen kurejeshwa


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imedhamiria kuwarudisha nchini Watanzania waishio Yemeni, kutokana na mapigano yanayoendelea nchini humo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh.

Alisema ni jukumu la serikali kuhakikisha kuwa Watanzania hao ambao wengi ni wanafunzi, wanarudi nchini wakiwa salama. 
Membe alisema awamu ya kwanza ya kuwarudisha ilifanyika hivi karibuni chini ya uratibu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watanzania waishio nje kupiga kura

Serikali ya Tanzania imedokeza kuna uwezekano kwa Watanzania waishio nje kupiga kura katika uchaguzi mkuu Mwezi Oktoba.

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO OMAN

Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizunguma na Watanzania waishio nchini Oman akihitimisha ziara yake nchini humo Oktoba 29, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maalim Mahadhi nakushoto ni Balozi wa  Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh. Baadhi ya watanzania waishio Oman wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati alipowahutubia kwenye hoteli ya Al Bustan mjini Muscut Oktoba 29, 2014.  Baadhi ya watanzania waishio Oman wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani