PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO OMAN
![](http://4.bp.blogspot.com/-KAUavBusnT0/VFIpeBNORjI/AAAAAAAGuKo/BLI2MY4soXs/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizunguma na Watanzania waishio nchini Oman akihitimisha ziara yake nchini humo Oktoba 29, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maalim Mahadhi nakushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh.
Baadhi ya watanzania waishio Oman wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati alipowahutubia kwenye hoteli ya Al Bustan mjini Muscut Oktoba 29, 2014.
Baadhi ya watanzania waishio Oman wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Pinda azungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Oman
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Oman , Mhe. Sayyid Fahad Mahmoud El Said kabla ya mazungumzo yao rasmi ya kiserikali kwenye Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu wa Oman mjini Muscat Oktoba 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Viongozi wa serikali ya Oman kabla ya mazungumzo yake rasmi ya kiserikali na Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo , Sayyid Fahad Mahmoud Al- Said kwenye Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu wa Oman mjini...
10 years ago
Michuzi17 Jul
Rais Kikwete azungumza na Watanzania waishio Uswisi
![k](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/k3.jpg)
![mail.google.com9](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/mail.google.com9_.jpg)
![j](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/j2.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ofisi ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva jana baada ya kuzungumza nao na kisha kupata futari katika Hoteli ya Intercontinental jijini Geneva ...
10 years ago
MichuziMH. PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR
11 years ago
Dewji Blog11 Jul
Pinda akutana na Watanzania waishio Reading Uingereza
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) wakiongozana na Madona Pemba (kushoto) , mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukmbi wa mikutano ili kuzungumza na watanzania waishio Reading Julai 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) wakisalimiana na baadhi ya watoto na wazazi waliohudhuria mkutano kati yake na watanzania waishio Reading Uingereza.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mipira kutoka kwa watanzania...
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Pinda: Watanzania waishio ughaibuni hawatapiga kura
MWANDISHI WETU, LONDON
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Alisema pamoja na kwamba Watanzania hao wanatakiwa kupiga kura wakati wa uchaguzi huo, jambo hilo halitawezekana kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya uchaguzi huo.
Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo jana kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter...
11 years ago
Dewji Blog14 Jul
Pinda azungumza na Watanzania London
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini London kabla ya kuzungumza na watanzania Julai 11, 2014. Kushoto ni Mkewe Tunu na kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Carol Chipeta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya Watanzania waliohudhuria mkutano kati yao na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini Londoni Julai 11, 2014...
10 years ago
Mtanzania19 Mar
Pinda azungumza na Watanzania Japan
NA MWANDISHI WETU, TOKYO
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema mauaji ya albino yanayojirudiarudia nchini yanachafua heshima na jina la Tanzania kwa kuwa yanakwenda kinyume na haki za binadamu.
Akizungumza na Watanzania wanaoishi Japan kwenye ubalozi wa Tanzania jijini Tokyo juzi, Pinda alisema kukosekana kwa hofu ya Mungu na elimu kwa baadhi ya watu nchini ndiyo chanzo cha mauaji hayo.
Alisema binadamu yeyote anayemwamini Mungu na kushika maagizo yake hawezi kudanganyika wala kushawishika...
10 years ago
MichuziMH. PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA LONDON
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YlXOPwEv0cY/VE6ptDa4O_I/AAAAAAACtsg/qiIfiUrM_UY/s72-c/115035.jpg)
WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO POLAND
![](http://2.bp.blogspot.com/-YlXOPwEv0cY/VE6ptDa4O_I/AAAAAAACtsg/qiIfiUrM_UY/s1600/115035.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-M0uvcuK9UN0/VE6ppRHaZYI/AAAAAAACtsQ/HtlT9gzpUxs/s1600/120008.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-b8qUy1tjRGs/VE6ppgm_P2I/AAAAAAACtsU/VN9R1GFtxFk/s1600/120017.jpg)