Pinda azungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Oman
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Oman , Mhe. Sayyid Fahad Mahmoud El Said kabla ya mazungumzo yao rasmi ya kiserikali kwenye Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu wa Oman mjini Muscat Oktoba 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Viongozi wa serikali ya Oman kabla ya mazungumzo yake rasmi ya kiserikali na Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo , Sayyid Fahad Mahmoud Al- Said kwenye Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu wa Oman mjini...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA AWASILI OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gwaride baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal Airport kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Oman Oktoba 27, 2014. Kushoto ni Naibu Waziri Mkuu wa Oman Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said (kushoto kwake) baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal Airport kwa ziara ya...
10 years ago
VijimamboWAZIRI MKUU MH. PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA LONDON
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Aprili 11, 2015. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe. Mtoto Tobias Kallaghe ambaye ni mtanzania anayeishi na wazazi wake nchini Uingereza akisamasasoti nyumbani kwao, eneo la High gate London Aprili 11, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe na Binti wa Balozi huyo, Rebecca...
10 years ago
MichuziPINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO OMAN
Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizunguma na Watanzania waishio nchini Oman akihitimisha ziara yake nchini humo Oktoba 29, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maalim Mahadhi nakushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh. Baadhi ya watanzania waishio Oman wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati alipowahutubia kwenye hoteli ya Al Bustan mjini Muscut Oktoba 29, 2014. Baadhi ya watanzania waishio Oman wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo...
11 years ago
MichuziWaziri Mkuu,Mizengo Pinda akutana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana .
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana. Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu.
10 years ago
Vijimambo05 Mar
Waziri Membe azungumza na Balozi wa Oman nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard K. Membe (Mb.) akifanya mazungumzo na Balozi wa Oman hapa nchini, Mhe. Saoud Al Ruqaishi alimpomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kuzungumzia masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Oman. Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya (kushoto) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Bi. Mindi Kasiga (kulia) pamoja na Bi. Asha Mkuja,...
10 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Mambo ya Nje azungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mhe. Balozi Linda Thomas - Greenfield alipotembelea Wizarani na kufanya mazungumzo yaliyojikita katika kukuza mahusiano kati ya Tanzania na Marekani katika Sekta mbalimbali.Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress pamoja na ujumbe ulioambatana na Mhe. Thomas - Greenfield nao wakifuatilia...
10 years ago
VijimamboWaziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
Waziri Mkuu Majaliwa amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda!
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Novemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Novemba 21, 2015 ....
10 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AZUNGUMZA NA MJUMBE MAALUM WA MAREKANI ENEO LA MAZIWA MAKUU
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiriano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) na Mjumbe Maalum wa Marekani kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu, Bw. Russel D. Feingold alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo. Katika mazungumzo yao waligusia mchango wa Tanzania katika suala la amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania