Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Membe azungumza na Balozi wa Oman nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard K. Membe (Mb.) akifanya mazungumzo na Balozi wa Oman hapa nchini, Mhe. Saoud Al Ruqaishi alimpomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kuzungumzia masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Oman. Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya (kushoto) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Bi. Mindi Kasiga (kulia) pamoja na Bi. Asha Mkuja,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe azungumza na Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa hapa nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataiafa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (hawapo pichani) waliopo hapa nchini kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea hapa nchini. Masuala hayo ni pamoja na hatua zinazochukuliwa na Serikali kukabiliana na mauaji ya Albino, Mkataba wa Makubaliano ya Chama cha SPLM cha Sudan Kusini na  Hali katika nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu  kama DRC. Kulia  ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA BALOZI MALAWI NCHINI TANZANIA, PIA AZUNGUMZA NA GAVANA MKUU WA JIMBO LA SIUSTAN NA BALACHESTAN

Balozi Mpya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Japan Balozi Batilda Buriani akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkaribisha Balozi Mpya wa Malawi Nchini Tanzania Bibi Hawa Ndolowe aliyefika Ofisini kwake kujitambulisha rasmi.
Balozi Seif akisalimiana na Gavana Mkuu wa Jimbo la Siustan na Balachestan...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI

Waziri  wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Mhe. Mark Childress alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani na kukumbuka Wahanga wa tukio la kigaidi lililotokea Marekani miaka 13 iliyopita (September 11). Mazungumzo yao yalifanyika tarehe 11 Septemba 2014.Mhe. Membe akimweleza jambo Balozi Childress wakati wa mazungumzo yao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda azungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Oman

PG4A7508

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Oman , Mhe. Sayyid Fahad Mahmoud El Said kabla ya  mazungumzo yao rasmi ya kiserikali kwenye Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu wa Oman mjini Muscat Oktoba 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)   

PG4A7522

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Viongozi wa serikali ya Oman kabla ya mazungumzo yake rasmi ya kiserikali  na Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo , Sayyid Fahad Mahmoud Al- Said kwenye Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu wa Oman mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe akutana kwa mazungumzo na Balozi wa China hapa nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akizungumza na Balozi wa China nchini Mhe. Lu Youqing alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na China Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya (kushoto), akiwa na Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia Balozi Mbelwa Kairuki (wa pili kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Bi. Mindi...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA HISPANIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza mbele ya Mabalazi na Wageni waalikwa wakati wa hafla fupi ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Wizara kwa ajili ya kumuaga rasmi Balozi wa Hispania aliyemaliza muda wa kazi nchini, Mhe. Luis Manuel Cuesta Civis.  Katika hotuba yake Mhe. Membe alimshukuru Balozi Luis kwa mchango wake wa  kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Hispania. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es...

 

10 years ago

Vijimambo

RE: WAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA SAUDI ARABIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba wakati wa hafla ya Chakula cha Mchana iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje kwa ajili ya kumuaga Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini, Mhe. Hani Abdullah Mominah ambaye amemaliza muda wake wa kazi. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro tarehe 18 Februari, 2015 Balozi Hani naye akitoa hotuba mbele ya wageni waalikwa Mhe. Waziri Membe akimkabidhi zawadi ya picha ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA SAUDI ARABIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba wakati wa hafla ya Chakula cha Mchana iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje kwa ajili ya kumuaga   Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini, Mhe. Hani Abdullah Mominah  ambaye amemaliza muda wake wa kazi. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro tarehe 18 Februari, 2015Balozi Hani naye akitoa hotuba mbele ya wageni waalikwaMhe. Waziri Membe akimkabidhi zawadi ya picha ya kuchora...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani