WAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA HISPANIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza mbele ya Mabalazi na Wageni waalikwa wakati wa hafla fupi ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Wizara kwa ajili ya kumuaga rasmi Balozi wa Hispania aliyemaliza muda wa kazi nchini, Mhe. Luis Manuel Cuesta Civis. Katika hotuba yake Mhe. Membe alimshukuru Balozi Luis kwa mchango wake wa kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Hispania. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA SAUDI ARABIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI
10 years ago
Vijimambo18 Feb
RE: WAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA SAUDI ARABIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI
10 years ago
MichuziKatibu Mkuu amuaga rasmi Balozi wa Finland aliyemaliza muda wa kazi nchini
10 years ago
Michuzi04 Dec
Membe Amuaga Balozi wa Australia Nchini Tanzania aliyemaliza muda wake
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AMUAGA BALOZI WA BRAZIL ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI
10 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NJE YAMUAGA RASMI BALOZI WA UBELGIJI ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-KIjSEo2Y10Q/U7F4y1-g3BI/AAAAAAAFtqQ/L_qPNapRl8s/s72-c/unnamed+(30).jpg)
Membe amuaga rasmi Balozi wa Afrika Kusini nchini
![](http://3.bp.blogspot.com/-KIjSEo2Y10Q/U7F4y1-g3BI/AAAAAAAFtqQ/L_qPNapRl8s/s1600/unnamed+(30).jpg)
10 years ago
VijimamboWIZARA YA MAMBO YA NJE YAMUAGA BALOZI WA INDIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI
Balozi wa India nchini Tanzania anayemaliza muda wake wa kazi, Mhe.Debnath Shaw akitoa hotuba yake ya kuaga mbele ya wageni waalikwa wakiwemo baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika katika Hoteli ya New Afrika Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2015.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
10 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NJE YAMUAGA BALOZI WA SWEDEN ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10