Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Membe amuaga rasmi Balozi wa Afrika Kusini nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimkabidhi aliyekuwa Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini, Mhe. Thanduyise Henry Chiliza zawadi ya picha ya kuchora ya Mlima Kilimanjaro wakati wa hafla ya kumuaga Balozi huyo ambaye amemaliza muda  wake wa kazi hapa nchini. Hafla hiyo ilifanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency (Kilimanjaro) Jijini Dar es  Salaam. (Picha na Reginald Philip)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA HISPANIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza mbele ya Mabalazi na Wageni waalikwa wakati wa hafla fupi ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Wizara kwa ajili ya kumuaga rasmi Balozi wa Hispania aliyemaliza muda wa kazi nchini, Mhe. Luis Manuel Cuesta Civis.  Katika hotuba yake Mhe. Membe alimshukuru Balozi Luis kwa mchango wake wa  kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Hispania. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es...

 

10 years ago

Vijimambo

RE: WAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA SAUDI ARABIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba wakati wa hafla ya Chakula cha Mchana iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje kwa ajili ya kumuaga Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini, Mhe. Hani Abdullah Mominah ambaye amemaliza muda wake wa kazi. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro tarehe 18 Februari, 2015 Balozi Hani naye akitoa hotuba mbele ya wageni waalikwa Mhe. Waziri Membe akimkabidhi zawadi ya picha ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA SAUDI ARABIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba wakati wa hafla ya Chakula cha Mchana iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje kwa ajili ya kumuaga   Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini, Mhe. Hani Abdullah Mominah  ambaye amemaliza muda wake wa kazi. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro tarehe 18 Februari, 2015Balozi Hani naye akitoa hotuba mbele ya wageni waalikwaMhe. Waziri Membe akimkabidhi zawadi ya picha ya kuchora...

 

10 years ago

Michuzi

Membe Amuaga Balozi wa Australia Nchini Tanzania aliyemaliza muda wake

Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa juzi ameagana na Mhe.Geoffrey Tooth Balozi wa Australia nchini Tanzania ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi nchini. Katika mazungumzo yao. Waziri Membe alimueleza Balozi Tooth kuwa wakati wa kipindi chake cha uwakilishi, uhusiano baina ya nchi hizi mbili umeimarika. Mhe. Membe pia amemshukuiru Balozi Tooth kwa ushirikiano mzuri alioutoa katika kipindi chote na kusisitiza kuwa Tanzania ni nyumbani kwake...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu amuaga rasmi Balozi wa Finland aliyemaliza muda wa kazi nchini

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Libarata Mulamula akizungumza mbele ya Mabalozi na Wageni waalikwa wakati wa hafla fupi ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Wizara kwa ajili ya kumuaga rasmi Balozi wa Finland aliyemaliza muda wa kazi nchini, Mhe. Sinikka Antila. Katika hotuba yake Balozi Mulamula alimshukuru Balozi Antila kwa mchango wake wa  kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Finland. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe amuaga Balozi wa Qatar

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Mhe. Bernard  K. Membe (Mb.) akimkaribisha ofisini kwake Balozi wa kwanza wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Jassim M. Al-Darwish alipokwenda kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.Waziri Membe akizungumza jambo na Balozi Jassim M. Al-Darwish huku Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Balozi Simba Yahya (kushoto) akisikiliza.Afisa Mambo ya Nje, Bw. Batholomeo Jungu akisikiliza mazungumzo kati ya Waziri Membe na Balozi...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMUAGA RAIS WA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MOJA NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kushoto) na Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma wakifurahia burudani ya ngoma za asili, wakati wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Rais Zuma alipokuwa akiondoka baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja nchini. Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakikagua gwaride la heshima, wakati Rais huyo wa Afrika ya...

 

10 years ago

Mwananchi

VURUGU AFRIKA KUSINI: Membe adai hakuna mtanzania aliyeuawa, 21 kurejea nchini

Watanzania 23 waishio Afrika Kusini wamewekwa kwenye kambi maalumu ya Isipingo nchini humo ili kupewa ulinzi wa maisha yao yaliyo hatarini kufuatia mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani