Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu Majaliwa amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda!

IMGS2612

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa  akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Novemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS2602   Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha  Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Novemba 21, 2015  ....

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA

 Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha  Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Jumamosi Novemba 21, 2015 
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa  akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Jumamosi Novemba 21, 2015.
Waziri Mkuu,...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU WA UGANDA

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda na ujumbe wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Uganda Dr Ruhakana Rugunda pamoja na viongozi wa serekalini Uganda.Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongea jambo na Waziri Mkuu wa Uganda Dr Ruhakana Rugunda alipo mtembelea ofisini kwake kushoto ni Kaimu wa Itafaki Tanznia Bw. Jemes Bwana,  Waziri Mkuu yupo Nchini Uganda kumuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za Skauti kutimiza mika miamoja nchini Uganda.Picha na Chris Mfinanga.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO MHE JAPHET HASUNGA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSAAFU MHE MIZENGO PINDA, NYUMBANI KWAKE JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda akimtembeza Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) kujionea mashamba ya zabibu alipozuru katika eneo la Zuzu leo tarehe 7 Aprili 2020 Jijini Dodoma. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb)...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MH PINDA AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR, SALMIN AMOUR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipomtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar , Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani Zanzibar kumjuulia hali baada ya kurudi kutoka matibabu nchini China karibuni. Waziri Mkuu alikuwepo Zanzibar kwa shughuli za kikazi . Picha na Chris Mfinanga

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU AMKABIDHI RASMI OFISI WAZIRI MKUU MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimkaribisha  Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda  ambaye Novemba 30,2015 alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kukabidhi Ofisi.  Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo  Pinda ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015 kukabidhi Ofisi.  Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda wakimsikiliza  Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA AFUNGUA KITUO CHA UTAMADUNI WA CHINA NCHINI TANZANIA

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akifungua kituo cha utamaduni wa China nchini Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (katikati) akipata maelekezo toka kwa Mshauri wa Masuala ya Utamaduni toka Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China Bw. GAO...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani