Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU MH PINDA AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR, SALMIN AMOUR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipomtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar , Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani Zanzibar kumjuulia hali baada ya kurudi kutoka matibabu nchini China karibuni. Waziri Mkuu alikuwepo Zanzibar kwa shughuli za kikazi . Picha na Chris Mfinanga

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Majaliwa amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda!

IMGS2612

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa  akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Novemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS2602   Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha  Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Novemba 21, 2015  ....

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA

 Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha  Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Jumamosi Novemba 21, 2015 
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa  akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Jumamosi Novemba 21, 2015.
Waziri Mkuu,...

 

11 years ago

GPL

RAIS JK AWAJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA NA WAZIRI HAROUN ALI SULEIMAN

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu Msaafu Mzee Cleopa David Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jana jijini Dar es Salaam. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Waziri wa nchi Afisi ya Rais Kazi…

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMTEMBELEA KUMJULIA HALI MZEE MAGULA AMBAYE AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akimjulia hali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula katika chumba cha uangalizi maalum katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, leo. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, Gerson Msigwa imesema Mzee Mangula alipelekwa katika Hoapitali hiyo jana baada ya kuugua ghafla.
 Rais akizungumza na Mzee Mangula
Rais akifanya sala ya pamoja na Mzee Mangula

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU WA UGANDA

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda na ujumbe wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Uganda Dr Ruhakana Rugunda pamoja na viongozi wa serekalini Uganda.Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongea jambo na Waziri Mkuu wa Uganda Dr Ruhakana Rugunda alipo mtembelea ofisini kwake kushoto ni Kaimu wa Itafaki Tanznia Bw. Jemes Bwana,  Waziri Mkuu yupo Nchini Uganda kumuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za Skauti kutimiza mika miamoja nchini Uganda.Picha na Chris Mfinanga.

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMTEMBELEA MAMA YAKE MZAZI WAZIRI MKUU PINDA MKOANI KATAVI LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu,Mh Pinda, mapema mchana huu nyumbani kwake,Katika kijiji cha Kibaoni Wilaya Mlela mkoani Katavi,alipokwenda kumtembelea na kumjulia hali. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu,Mh Pinda, mapema mchana huu nyumbani kwake,Katika kijiji cha Kibaoni Wilaya Mlele mkoani Katavi,alipokwenda kumtembelea na kumjulia hali.Kinana yuko Mkoani Katavi kwa ziara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani