Watanzania waishio nje kupiga kura
Serikali ya Tanzania imedokeza kuna uwezekano kwa Watanzania waishio nje kupiga kura katika uchaguzi mkuu Mwezi Oktoba.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-2MlV9bAG_IM/VSpR93FB8EI/AAAAAAAC3DI/JLJsOAlHqS4/s72-c/Waziri-Mkuu-wa-Tanzania-Mizengo-Pinda.jpg)
WATANZANIA WAISHIO NJE KUTOPIGA KURA OKTOBA - PINDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-2MlV9bAG_IM/VSpR93FB8EI/AAAAAAAC3DI/JLJsOAlHqS4/s1600/Waziri-Mkuu-wa-Tanzania-Mizengo-Pinda.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya zoezi hilo kufanyika.
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Aprili 11, 2015) wakati akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Balozi Peter Kallaghe, yaliyoko Highgate,...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-zLlWbCPFzmo/VSqCYHH2IJI/AAAAAAABLLk/gi0jTpDHVuA/s72-c/Mizengo-Pinda.jpg)
PINDA - WATANZANIA WAISHIO NJE KUTOPIGA KURA OKTOBA
![](http://1.bp.blogspot.com/-zLlWbCPFzmo/VSqCYHH2IJI/AAAAAAABLLk/gi0jTpDHVuA/s1600/Mizengo-Pinda.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya zoezi hilo kufanyika.
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Aprili 11, 2015) wakati akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Balozi Peter...
10 years ago
GPL10 Sep
FRANCIA CHENGULA AZUNGUMZIA UPIGAJI KURA KWA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI
10 years ago
GPLWATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.
10 years ago
Habarileo13 Apr
Waishio nje ya nchi kutopiga kura
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya kufikiwa kwa hatua hiyo.
11 years ago
Mtanzania13 Aug
Watanzania waishio nje watuma ujumbe Bunge la Katiba
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
Na Debora Sanja, Dodoma
WATANZANIA walioko nje ya nchi, wametuma waraka maalumu kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.
Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad, alisema raia hao wameomba waraka huo ujadiliwe na wajumbe wakati huu ambapo mchakato wa kuandika Katiba unaendelea katika kamati.
“Raia walioko nje ya nchi, wametuma waraka maalumu ambao waliomba ujadiliwe ndani ya kamati kuhusiana na uraia...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-USsI6xBR_20/VYvzIqUE-sI/AAAAAAAHj7g/PpMGlgdQ2Pc/s72-c/IMG_2871.jpg)
MJENGWA KUUNGANISHA WATANZANIA WAISHIO NJE NA NDANI YA NCHI
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya habari Maelezo jijini , Dar es Salaam, Mratibu wa Watu Waishio Ughaibuni (Diaspora),Maggid Mjengwa amesema kutokana na kutambua uwepo watu milioni mbili wako nje nchi ambao wanatakiwa kushirikishwa katika masuala mbalilmbali yanayoendelea...
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Pinda: Watanzania waishio ughaibuni hawatapiga kura
MWANDISHI WETU, LONDON
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Alisema pamoja na kwamba Watanzania hao wanatakiwa kupiga kura wakati wa uchaguzi huo, jambo hilo halitawezekana kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya uchaguzi huo.
Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo jana kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter...
10 years ago
VijimamboWatanzania Waishio Nje ya Nchi sasa Kupata Filamu za Kitanzania Kupitia Mtandao