Waishio nje ya nchi kutopiga kura
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya kufikiwa kwa hatua hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWATANZANIA WAISHIO NJE KUTOPIGA KURA OKTOBA - PINDA
*Waziri Mkuu aomba Watanzania waiombee nchi yao
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya zoezi hilo kufanyika.
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Aprili 11, 2015) wakati akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Balozi Peter Kallaghe, yaliyoko Highgate,...

VijimamboPINDA - WATANZANIA WAISHIO NJE KUTOPIGA KURA OKTOBA
*Waziri Mkuu aomba Watanzania waiombee nchi yao. (Picha na Maktaba yetu)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya zoezi hilo kufanyika.
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Aprili 11, 2015) wakati akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Balozi Peter...

GPL10 Sep
FRANCIA CHENGULA AZUNGUMZIA UPIGAJI KURA KWA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI
Msanii wa muziki, Francia Chengula akiuliza swali kuhusu kwa nini Watanzania waliopo nje ya nchi hawaruhusiwi kupiga kura aidha kwa vyama au kwenye chaguzi kuu.
Francia aliuliza swali hili wakati wa Semina ya Viongozi wa mashina ya CCM ya Uingereza iliyo fanyika.
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Watanzania waishio nje kupiga kura
Serikali ya Tanzania imedokeza kuna uwezekano kwa Watanzania waishio nje kupiga kura katika uchaguzi mkuu Mwezi Oktoba.
10 years ago
MichuziMJENGWA KUUNGANISHA WATANZANIA WAISHIO NJE NA NDANI YA NCHI
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWATANZANIA walioko Ughaibuni wanatakiwa kuelezwa vitu ambavyo vitawafanya watanzania nchini kutambua umuhimu wa watu katika masuala mbalimbali ikiwemo uchumi.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya habari Maelezo jijini , Dar es Salaam, Mratibu wa Watu Waishio Ughaibuni (Diaspora),Maggid Mjengwa amesema kutokana na kutambua uwepo watu milioni mbili wako nje nchi ambao wanatakiwa kushirikishwa katika masuala mbalilmbali yanayoendelea...

VijimamboWatanzania Waishio Nje ya Nchi sasa Kupata Filamu za Kitanzania Kupitia Mtandao
Mheshimiwa Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akisoma hotuba fupi mbele za waandishi wa habari na wageni waalikwa waliohudhuria hafla fupi ya Uzinduzi wa Mpango wa Kuuza Filamu za Proin Mtandaoni.Mkurugenzi wa Makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza akisoma hotuba fupi kwa Mgeni rasmi ambae pia Ni Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mh Dkt Fenella Mukangara wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa kuuza filamu za Proin mtandaoni. Muigizaji Emmanuel...
10 years ago
GPLWATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI SASA KUPATA FILAMU ZA KITANZANIA KUPITIA MTANDAO
Mheshimiwa Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akisoma hotuba fupi mbele za waandishi wa habari na wageni waalikwa waliohudhuria hafla fupi ya Uzinduzi wa Mpango wa Kuuza Filamu za Proin Mtandaoni.
Mkurugenzi wa Makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza akisoma hotuba fupi kwa Mgeni rasmi ambae pia Ni Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mh Dkt Fenella Mukangara wakati wa… ...
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAWATAKA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI 'DIASPORA' KUKOPA MIKOPO YA NYUMBA
Meneja wa Mikopo ya Nyumba kutoka Benki ya CRDB, Silas Katemi akitoa mada wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Meneja Uhusiano wa Premier Banking, Augusta Mfuru akizungumza wakati wa mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Nasiwa Solomon...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania