WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI SASA KUPATA FILAMU ZA KITANZANIA KUPITIA MTANDAO
Mheshimiwa Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akisoma hotuba fupi mbele za waandishi wa habari na wageni waalikwa waliohudhuria hafla fupi ya Uzinduzi wa Mpango wa Kuuza Filamu za Proin Mtandaoni. Mkurugenzi wa Makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza akisoma hotuba fupi kwa Mgeni rasmi ambae pia Ni Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mh Dkt Fenella Mukangara wakati wa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWatanzania Waishio Nje ya Nchi sasa Kupata Filamu za Kitanzania Kupitia Mtandao
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-USsI6xBR_20/VYvzIqUE-sI/AAAAAAAHj7g/PpMGlgdQ2Pc/s72-c/IMG_2871.jpg)
MJENGWA KUUNGANISHA WATANZANIA WAISHIO NJE NA NDANI YA NCHI
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya habari Maelezo jijini , Dar es Salaam, Mratibu wa Watu Waishio Ughaibuni (Diaspora),Maggid Mjengwa amesema kutokana na kutambua uwepo watu milioni mbili wako nje nchi ambao wanatakiwa kushirikishwa katika masuala mbalilmbali yanayoendelea...
10 years ago
GPL10 Sep
FRANCIA CHENGULA AZUNGUMZIA UPIGAJI KURA KWA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAWATAKA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI 'DIASPORA' KUKOPA MIKOPO YA NYUMBA
10 years ago
GPLWATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Y8R0cl9XFJA/VMoBQnhyg4I/AAAAAAAAeVI/Hsx9g1dI97U/s72-c/joti.png)
Filamu: Pata Filamu ya Joti Sanduku la Babu kupitia Mtandao
![](http://1.bp.blogspot.com/-Y8R0cl9XFJA/VMoBQnhyg4I/AAAAAAAAeVI/Hsx9g1dI97U/s1600/joti.png)
Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania iitwayo Joti Sanduku la Babu au Kununua na iwe yako kupitia mtandao.
Ili kuweza kuangalia au kununua kupitia Mtandao unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti hii
http://www.proinpromotions.co.tz
Pia unaweza kuangalia au kununua filamu nyingine kupitia mtandao huo huo
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Og0FMEkWfP0/VLq354EL_QI/AAAAAAAAeBo/vaMJDRkbeFg/s72-c/fi.png)
Filamu: Pata Filamu ya Jenipher Kyaka FIGO kupitia Mtandao.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Og0FMEkWfP0/VLq354EL_QI/AAAAAAAAeBo/vaMJDRkbeFg/s1600/fi.png)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-y9vEqrtyIQ4/VLvO0pPhuuI/AAAAAAAAeCg/xPGw_fqYaO0/s72-c/kigodoro.png)
Filamu: Pata Filamu ya Kigodoro kupitia Mtandao.Kantangaze I
![](http://4.bp.blogspot.com/-y9vEqrtyIQ4/VLvO0pPhuuI/AAAAAAAAeCg/xPGw_fqYaO0/s1600/kigodoro.png)
Mtaani kuna vituko vingi vyenye kusisimua, kuhuzunisha na kufurahisha unaweza Fuatilia uko vilivyopo katika filamu hii kupitia mtandao .......Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania iitwayo KIGODORO au Kanunua na iwe yako kupitia mtandao.Ili kuweza kuangalia au kununua kupitia Mtandao unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti hiiPia unaweza kuangalia au kununua filamu nyingine kupitia mtandao huo huohttp://shop.proinpromotions.co.tz
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-y9vEqrtyIQ4/VLvO0pPhuuI/AAAAAAAAeCg/xPGw_fqYaO0/s72-c/kigodoro.png)
Filamu: Pata Filamu ya Kigodoro kupitia Mtandao - Kantangaze
![](http://4.bp.blogspot.com/-y9vEqrtyIQ4/VLvO0pPhuuI/AAAAAAAAeCg/xPGw_fqYaO0/s1600/kigodoro.png)
filamu nyingine kupitia mtandao huo huo