Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania waishio Yemen kurejeshwa


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imedhamiria kuwarudisha nchini Watanzania waishio Yemeni, kutokana na mapigano yanayoendelea nchini humo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh.

Alisema ni jukumu la serikali kuhakikisha kuwa Watanzania hao ambao wengi ni wanafunzi, wanarudi nchini wakiwa salama. 
Membe alisema awamu ya kwanza ya kuwarudisha ilifanyika hivi karibuni chini ya uratibu...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Watanzania wengine 39 kurejeshwa kutoka Yemen

JUHUDI za Serikali za kuendelea kuwarejesha nchini Watanzania walioko katika nchi zenye machafuko, zimeendelea na leo inatarajiwa kupokea kundi la tatu la watanzania 39 kutoka nchini Yemen.

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.

Bw Kisasi mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi. Bi Rosemary Chambe Jairo Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.…

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania wa Yemen wasimulia mateso yao

Watanzania waliokuwa wanaishi nchini Yemen wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam baada ya kuwasili jana. (Na Mpigapicha Wetu).SERIKALI imefanikisha kurejea nchini kwa kundi la pili la Watanzania 14 wanaoishi Yemen, ambako kuna machafuko ya vita ya wenyewe kwa wenyewe.

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania 18 warejeshwa nchini kutokea Yemen


Kiongozi wa Msafara wa Watanzania waliorejeshwa nchini kutokea Yemen Bw. Abdul Twahid Said akizungumza na Waandishi wa Habari  kwa niaba ya wenzake mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  jijini Dar es Salaam kwa ndege ya Shirika la Emirates. Bw. Said alitoa shukrani kwa jitihada za Serikali za kuwarejesha nchini Watanzania wote kufuatia machafuko yanayoendelea nchini Yemen. Bw. Sabri Hery Omari ambaye ni miongoni mwa Watanzania waliorejea nae...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania 64 waokolewa kwenye machafuko Yemen

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.SIKU chache baada ya kuwarudisha nchini Watanzania 25 kutoka Yemen, Serikali imetangaza kuwarudisha nyumbani Watanzania wengine 64 waliokuwa huko, ili kuwaepusha na machafuko yanayoendelea nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakizungumza na Mchezaji Mwinyi Kazimoto ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Al Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano kati yake na watanzania waishio nchini humo uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 21, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda (kushoto kwake) wakizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania waishio nchini Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya...

 

11 years ago

Michuzi

TANGAZO KWA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA

 Ubalozi wa Tanzania London - Uingereza, unafuraha ya kuwatangazia Watanzania wote waishio Uingereza kuwa Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atakutana na Watanzania siku ya Jumapili tarehe 30 Machi 2014.
Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Forty Avenue, Wembley Park, London, Middx, HA9 9BE, kuanzia saa 10 jioni (16:00).


Katika Mkutano huo, Mhe.Rais Kikwete atazungumzia maendeleo ya nchi yetu na pia kutumia fursa hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO OMAN

Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizunguma na Watanzania waishio nchini Oman akihitimisha ziara yake nchini humo Oktoba 29, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maalim Mahadhi nakushoto ni Balozi wa  Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh. Baadhi ya watanzania waishio Oman wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati alipowahutubia kwenye hoteli ya Al Bustan mjini Muscut Oktoba 29, 2014.  Baadhi ya watanzania waishio Oman wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani