Watanzania 64 waokolewa kwenye machafuko Yemen
SIKU chache baada ya kuwarudisha nchini Watanzania 25 kutoka Yemen, Serikali imetangaza kuwarudisha nyumbani Watanzania wengine 64 waliokuwa huko, ili kuwaepusha na machafuko yanayoendelea nchini humo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru NewspaperWatanzania waishio Yemen kurejeshwa
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imedhamiria kuwarudisha nchini Watanzania waishio Yemeni, kutokana na mapigano yanayoendelea nchini humo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh.
Alisema ni jukumu la serikali kuhakikisha kuwa Watanzania hao ambao wengi ni wanafunzi, wanarudi nchini wakiwa salama.
Membe alisema awamu ya kwanza ya kuwarudisha ilifanyika hivi karibuni chini ya uratibu...
10 years ago
MichuziWatanzania 18 warejeshwa nchini kutokea Yemen
Kiongozi wa Msafara wa Watanzania waliorejeshwa nchini kutokea Yemen Bw. Abdul Twahid Said akizungumza na Waandishi wa Habari kwa niaba ya wenzake mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ndege ya Shirika la Emirates. Bw. Said alitoa shukrani kwa jitihada za Serikali za kuwarejesha nchini Watanzania wote kufuatia machafuko yanayoendelea nchini Yemen. Bw. Sabri Hery Omari ambaye ni miongoni mwa Watanzania waliorejea nae...
10 years ago
Habarileo22 Apr
Watanzania wa Yemen wasimulia mateso yao
SERIKALI imefanikisha kurejea nchini kwa kundi la pili la Watanzania 14 wanaoishi Yemen, ambako kuna machafuko ya vita ya wenyewe kwa wenyewe.
10 years ago
Habarileo06 May
Watanzania wengine 39 kurejeshwa kutoka Yemen
JUHUDI za Serikali za kuendelea kuwarejesha nchini Watanzania walioko katika nchi zenye machafuko, zimeendelea na leo inatarajiwa kupokea kundi la tatu la watanzania 39 kutoka nchini Yemen.
10 years ago
VijimamboWATANZANIA WALIORUDISHWA TOKA YEMEN WAONGEA NA WANAHABARI
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha nyumbani jumla ya Watanzania kumi na nane kutoka nchini Yemen kufuatia mapigano yanayoendelea nchini humo ya wenyewe kwa wenyewe.
Watanzania hao ambao wamewasili nchini leo kwa ndege ya shirika la emirates namba EK 725 wameishukuru serikali kutokana na jitihada za haraka zilizofanywa kupitia ubalozi wa Tanzania nchini Oman na kufanikiwa kuwarejesha salama pasipo gharama zozote .
Akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba...
10 years ago
Vijimambo17 Apr
SERIKALI KUWARUDISHA NCHINI WATANZANIA WALIOPO YEMEN
Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600
20 KIVUKONI FRONT, P.O. BOX 9000, 11466 DAR ES SALAAM, Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Serikali kuwarudisha nchini Watanzania waliopo Yemen
Mhe....
10 years ago
Michuzi17 Apr
10 years ago
Africanjam.ComPICHA: WAKATI NCHI YA BURUNDI IKIWA KWENYE MACHAFUKO, RAISI WAKE PIERRE NKURUNZINZA AONEKANA AKISAKATA KABUMBU
10 years ago
Michuziwatanzania 18 warejea nyumbani kutoka Yemen ambako hakukaliki kutokana na vita