watanzania 18 warejea nyumbani kutoka Yemen ambako hakukaliki kutokana na vita
.jpg)
Balozi wa Tanzania nchini Oman Mh. Ali Ahmed Saleh (aliyebeba mtoto) akiwa na baadhi ya kundi la Watanzania 18 waliookolewa kutoka Yemen ambako hakukaliki kutokana na vita. Hapa wananchi hao wapo katika uwanja wa ndege wa Muscat wakiwa njiani kurejeshwa nyumbani.
Sehemu ya wananchi hao wakijiandaa kuondoka Muscat, Oman, kurejea nyumbani
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
WATANZANIA WALIOKWAMA INDIA KUTOKANA NA CORONA WAREJEA NCHINI

Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Tanzania [ATCL] pamoja na Diaspora wa Tanzania nchini India kwa mara nyingine wamefanikisha safari ya pili ya kuwarejesha nchini Watanzania 192 waliokuwa wamekwama katika miji mbalimbali nchini India.
Watanzania hao walikwama kutokana na zuio la kuingia na kutoka kwa ndege za Kimataifa...
5 years ago
CCM Blog
WATANZANIA 57 WALIOKUWA WAMEKWANA AFRIKA KUSINI KUTOKANA NA CORONA WAREJEA NCHINI

5 years ago
MichuziAWAMU YA PILI YA WATANZANIA WALIOKWAMA INDIA KUTOKANA NA UGONJWA WA COVID-19 WAREJEA NCHINI

Baadhi ya watanzania waliokuwa wamekwama India kutokana na ugonjwa wa COVID-19 wakiwa ndani ya ndege maalum ya Air Tanzania wakisubiri kuondoka kurejea Tanzania katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati Shivaji Jijini Mumbai tarehe 30 Mei 2020. Serikali ya India ilisitisha huduma ya kuingia na kutoka kwa ndege za kimataifa ikiwa ni moja ya mkakati wa kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa COVID-19.

Sehemu nyingine ya watanzania waliokuwa wamekwama nchini India wakiwa ndani ya ndege maalum ya...
10 years ago
GPLWATANZANIA WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAREJEA NYUMBANI
KUNDI la Watanzania 26 limerejea nyumbani kutoka Afrika Kusini leo tarehe 25 Aprili, 2015 kufuatia mashambulizi ya wazawa dhidi ya wageni. Kundi hilo la kwanza kurejea nyumbani liliwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere saa 11 alfajiri na Ndege ya Fast Jet. Watanzania hao walikuwa wanaishi katika kambi za dharura za Isipingo na Phoenix zilizopo jijini Durban. Walisindikizwa kurudi...
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: WATANZANIA 26 WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAREJEA NYUMBANI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

10 years ago
Vijimambo25 Apr
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - WATANZANIA WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI WAREJEA NYUMBANI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600
20 KIVUKONI FRONT, P.O. BOX 9000, 11466 DAR ES SALAAM, Tanzania.

Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600
20 KIVUKONI FRONT, P.O. BOX 9000, 11466 DAR ES SALAAM, Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWATANZANIA WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAMEREJEA NYUMBANI Kundi...
10 years ago
Vijimambo
KUNDI LINGINE LA WATANZANIA 40 WALIOKUWA WAKIISHI NCHINI YEMEN WAREJESHWA NYUMBANI LEO


5 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: KUNDI LINGINE LA WATANZANIA 40 WALIOKUWA WAKIISHI NCHINI YEMEN WAREJESHWA NYUMBANI LEO


Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania