WATANZANIA WALIOKWAMA INDIA KUTOKANA NA CORONA WAREJEA NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-qrjD1YsSjxM/XtPlvL4HS-I/AAAAAAAC6d4/fVniuw6mMX8hUInc5A1vWTo8gYFjMlhrACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Serikali yarejesha kwa awamu ya pili Watanzania 192 waliokuwa wamekwama nchini India kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19
Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Tanzania [ATCL] pamoja na Diaspora wa Tanzania nchini India kwa mara nyingine wamefanikisha safari ya pili ya kuwarejesha nchini Watanzania 192 waliokuwa wamekwama katika miji mbalimbali nchini India.
Watanzania hao walikwama kutokana na zuio la kuingia na kutoka kwa ndege za Kimataifa...
CCM Blog