Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK aaga Watanzania ughaibuni

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kuaga Watanzania kila anapopata fursa ya kukutana nao, huku mafanikio ya miaka kumi ya uongozi wake yakijidhihirisha katika maeneo mbalimbali, ikiwemo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambako Bajeti ya Serikali kupitia wizara mbalimbali imekuwa ikijadiliwa na kupitishwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Watanzania waishio ughaibuni hawatapiga kura

Mizengo-PindaMWANDISHI WETU, LONDON
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Alisema pamoja na kwamba Watanzania hao wanatakiwa kupiga kura wakati wa uchaguzi huo, jambo hilo halitawezekana kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya uchaguzi huo.
Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo jana kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF yatambulisha bima ya ''WESTADI'' kwa watanzania waishio Ughaibuni

Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza ukishirikiana na Urban Pulse Creative Media wanakuletea ziara ya Raisi Jakaya Kikwete London Tarehe 30.3.14 kukutana na watanzania waishio uingereza.
Kabla ya kuwasili kwake mh Rais shirika la NSSF lilipata fursa ya kutambulisha bima ya ''WESTADI'' kwa watanzania wote waishio Ughaibuni ili kuwawezesha kupata unafuu wa kusafirisha mwili au mazishi pale popote alipo mara anapofariki ughaibuni. Pia Bima hio kusaidia matibabu kwa ndugu na jamaa kadhaa...

 

10 years ago

GPL

TBC KUANZISHA KIPINDI CHA MAISHA YA WATANZANIA WALIO UGHAIBUNI

Kaimu Mkurugenzi wa TBC ,Rosemary Jairo,  akizungumza jambo.  Kulia ni Juma Hashim (kulia) na wa kwanza kushoto ni Edna Rajabu.Meneja Huduma wa TBC, Edna Rajabu,  akijibu maswali yaliyoulizwa na…

 

11 years ago

Michuzi

john mashaka ajitosa mjadala wa uraia pacha: Haki Ya Kuzaliwa Ya Watanzania Ughaibuni

Taifa letu likiwa katika mpito na wakati mgumu wa kuandika rasimu ya katiba mpya ya watanzania, hatuna budi kuweka kando itikadi zetu za kisiasa, tofauti za kiimani na hata maslahi binafsi ili tuungane katika kutafuta katiba itakayokidhi mahitaji yetu ya sasa na ya vizazi vijavyo. Katika mchakato huu, inatubidi tuwe makini na wakweli katika kujadili hatma na haki ya kuzaliwa ya ndugu zetu ambao wanaishi ughaibuni.  Lazima tuwajumuishe na kuwapa haki zao za msingi; haki ya kuzaliwa katika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Fundraising Dinner Columbus yafana Balozi Liberata Mulamula asisitiza Watanzania Ughaibuni wajiunge na Bima ya Westadi

Mhe. Liberata Mulamula akipokewa na mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri mara tu alipowasili kwenye fundraisng dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio iliyofanyika Comfort Inn siku ya Jumamosi April 19, 2014.

Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiingia ukumbini akiwa ameongozana na mweka hazima Bi. Vera Teri.

Mjumbe Michael Mnngodo akiutambulisha uongozi wa Jumuiya kwa Mhe. Balozi Libarata Mulamula na mumewe.

Mjumbe Chiseko Hamisi akielezea mfuko na kazi za mfuko huo na...

 

11 years ago

Michuzi

FUNDRAISING DINNER COLUMBUS YAFANA BALOZI LIBERATA MULAMULA ASISITIZA WATANZANIA UGHAIBUNI WAJIUNGE NA BIMA YA WESTAD


Mhe. Liberata Mulamula akipokewa na mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri mara tu alipowasili kwenye fundraisng dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio iliyofanyika Comfort Inn siku ya Jumamosi April 19, 2014.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiingia ukumbini akiwa ameongozana na mweka hazima Bi. Vera Teri. Kwa habari kamili na picha kibao
 BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

Ngasa aaga Yanga.


Winga hatari wa Yanga na Taifa Stars, Mrisho Ngasa, amewaaga na kuwashukuru mashabiki wake kwa kumpa sapoti katika kipindi chote alichokaa kwenye klabu hiyo ya Jangwani. 
Ngasa, mfungaji bora wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika mwaka jana na mfungaji bora wa Yanga msimu uliopita, mwishoni mwa wiki alikisaidia kikosi cha wanajangwani kupata ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya Platinum FC ya Zimbabwe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Katika mechi hiyo ya hatua ya kwanza ya michuano ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani