TBC KUANZISHA KIPINDI CHA MAISHA YA WATANZANIA WALIO UGHAIBUNI
Kaimu Mkurugenzi wa TBC ,Rosemary Jairo, akizungumza jambo. Kulia ni Juma Hashim (kulia) na wa kwanza kushoto ni Edna Rajabu.Meneja Huduma wa TBC, Edna Rajabu, akijibu maswali yaliyoulizwa na…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo27 Mar
Kipindi cha TBC kufichua ukali wa maisha ughaibuni
SHIRIKA la Utangazaji Tanzania(TBC), kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kitengo cha Diaspora wameanzisha kipindi cha runinga kitakachojulikana kama Bondeni kitakachokuwa kikielezea kwa undani maisha ya Watanzania waishio nchi mbalimbali duniani.
10 years ago
Michuzi02 Feb
11 years ago
Michuzi17 Feb
11 years ago
Bongo528 Jul
Kabwela Foundation ya Stamina kuanzisha kipindi cha TV
9 years ago
Habarileo21 Aug
Clouds kuanzisha kipindi cha kulinda watoto
KITUO cha televisheni cha Clouds kinatarajiwa kuanza kurusha kipindi kinachoelezea masuala ya kulinda watoto ambao kwa sasa wanakabiliwa na changamoto mbalimbali, nyingi zikitokana na wazazi au walezi.
10 years ago
Michuzi10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Usikose kipindi kipya cha luninga ‘Nyumbani na Diaspora’ kinachoendeshwa na Maggid Mjengwa kila Ijumaa ndani ya TBC 1
Nyumbani na Diaspora!
Ni kipindi kipya cha saa nzima chenye kuhusiana na Watanzania wa nyumbani na walio nje ya mipaka yetu.
Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa.
Ni kipindi kitakachoongozwa na mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli hapa nchini. Si mwingine ni Maggid Mjengwa.
Jiunge nae kufuatilia mahojiano motomoto na watu wa kada mbalimbali kwenye masuala ya kiuchumi,...
10 years ago
VijimamboJITIRIRISHE ALICHOKISEMA LE MUTUZ JUU YA KIFO CHA KOMBA NA MAISHA YA WATU WA UGHAIBUNI
9 years ago
Bongo512 Oct
Amber Rose na Blac Chyna wadaiwa kusitisha mpango wa kuanzisha kipindi chao cha Tv