Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kabwela Foundation ya Stamina kuanzisha kipindi cha TV

Msanii wa muziki wa Hip Hop na mmiliki wa Kabwela Foundation taasisi inayojishughulika na masuala ya kutoa misaada kwa wenye mahitaji maalum katika jamii, Stamina, anatarajia kuanzisha kipindi cha TV ili kurusha mambo mbalimbali yanayofanywa na tasisi hiyo. Akizungumza na Bongo5, Stamina amesema taasisi hiyo kwa sasa imekuwa kubwa na inahitaji kipindi cha TT ili […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Clouds kuanzisha kipindi cha kulinda watoto

KITUO cha televisheni cha Clouds kinatarajiwa kuanza kurusha kipindi kinachoelezea masuala ya kulinda watoto ambao kwa sasa wanakabiliwa na changamoto mbalimbali, nyingi zikitokana na wazazi au walezi.

 

10 years ago

GPL

TBC KUANZISHA KIPINDI CHA MAISHA YA WATANZANIA WALIO UGHAIBUNI

Kaimu Mkurugenzi wa TBC ,Rosemary Jairo,  akizungumza jambo.  Kulia ni Juma Hashim (kulia) na wa kwanza kushoto ni Edna Rajabu.Meneja Huduma wa TBC, Edna Rajabu,  akijibu maswali yaliyoulizwa na…

 

9 years ago

Bongo5

Amber Rose na Blac Chyna wadaiwa kusitisha mpango wa kuanzisha kipindi chao cha Tv

Marafiki walioshibana na ma ex wa marapper Wiz Khalifa na Tyga, Amber Rose na Blac Chyna inadaiwa wamesitisha mpango waliokuwa nao wa kuanzisha reality Tv show yao. Kwa mujibu wa TMZ, inasemekana kuwa Amber anampango wa kuja na reality show yake mwenyewe, huku Chyna yuko busy na biashara zake zingine. Licha ya uvumi kuwa moja […]

 

10 years ago

Bongo5

Mr Blue kuanzisha ‘Micharazo Foundation’ kusaidia kukuza vipaji vya muziki

Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaji vya wasanii wachanga. Blue ameiambia Bongo5 kuwa kama yeye alisaidiwa na watu mpaka akafikia alipo sasa, yeye pia ana wajibu wa kufanya hivyo kwa watu wengine. “Dhumuni kabisa ya hili kundi ni kusaidia,” amesema Kabayser. […]

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

TANZANIA NA MALAWI ZASAINI MKATABA WA KUANZISHA KITUO CHA PAMOJA CHA UHAMIAJI NA USHURU WA FORODHA

Na Ally Kondo, Lilongwe  Nchi za Afrika zimehimizwa kufanya biashara baina yao ili kujiletea maendeleo, badala ya kusubiri misaada isiyokuwa na uhakika kutoka nchi wahisani. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum (Mb) wakati wa hafla ya uwekaji saini Mkataba wa kuanzisha Kituo cha Pamoja cha Uhamiaji na Ushuru wa Forodha cha Songwe - Kasumulu kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Malawi.   Uwekaji saini huo ulifanyika Lilongwe, Malawi leo  Jumatatu tarehe 10 Machi,...

 

9 years ago

Michuzi

MODEWJI FOUNDATION YASAIDIA UJENZI WA MADARASA KITUO CHA MAFUNZO CHA FURAHINI.

Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akiwa ameambata na wafanyakazo wa kampuni ya METL walipotembelea kituo cha mafunzo cha Furahini cha wilayani Mwanga.  Afisa Udhibiti wa Ubora wa elimu ya msingi wilaya ya Mwanga ,Richard Joachim akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kituo cha mafunzo cha vijana cha Furahini klichopo Kisangara wilayani Mwanga.  Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akifungua mfano wa hundi kwa ajili ya kukabidhi kwa...

 

9 years ago

Michuzi

KIKUNDI CHA TUWAJALI FOUNDATION CHAANZA MWAKA KWA KUSAIDIA KITUO CHA SIFA KILICHOPO BUNJU B DAR

Baadhi ya wanakikundi cha Tuwajali Foundation wakiwa pamoja na watoto wa kituo cha Sifa wakati walipo watembelea na kutoa msaada.Baadhi ya vitu vimetolewa kwa kituo cha Sifa Foundation  Bi. Sifa (Kulia) ambaye ndiye mwanzilishi wa  kituo hicho cha Sifa Foundation akiwa anatoa shukurani kwa mmoja wa kiongozi wa Tuwajali Foundation Bw. Nurdin baada ya kupokea msaada wa vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Unga, Mchele, Sabuni, Nguo na vitu vya kuchezea watoto. Baadhi ya wanakundi la Tuwajali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani