john mashaka ajitosa mjadala wa uraia pacha: Haki Ya Kuzaliwa Ya Watanzania Ughaibuni
![](http://2.bp.blogspot.com/-jxN7CiEYIPk/UzFBsN6wVYI/AAAAAAAFWH8/qEI4Vj27y4w/s72-c/unnamed+(8).jpg)
Taifa letu likiwa katika mpito na wakati mgumu wa kuandika rasimu ya katiba mpya ya watanzania, hatuna budi kuweka kando itikadi zetu za kisiasa, tofauti za kiimani na hata maslahi binafsi ili tuungane katika kutafuta katiba itakayokidhi mahitaji yetu ya sasa na ya vizazi vijavyo.
Katika mchakato huu, inatubidi tuwe makini na wakweli katika kujadili hatma na haki ya kuzaliwa ya ndugu zetu ambao wanaishi ughaibuni.
Lazima tuwajumuishe na kuwapa haki zao za msingi; haki ya kuzaliwa katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi19 Mar
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y3Hmig3Fkvw/UwueaVgQ5QI/AAAAAAAFPUA/Vyt4Kz-DFH8/s72-c/2318784-flag-of-tanzania-waving-in-the-wind.jpg)
Hoja ya haja ya Mwenyekiti wa Watanzania wa Washington-Seattle kuhusu uraia pacha
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y3Hmig3Fkvw/UwueaVgQ5QI/AAAAAAAFPUA/Vyt4Kz-DFH8/s1600/2318784-flag-of-tanzania-waving-in-the-wind.jpg)
10 years ago
Michuzi20 Aug
HOJA YA HAJA: BARUA YA WAZI KWA GAZETI LA MWANANCHI NA BWANA HUMPHREY POLEPOLE KUHUSU URAIA PACHA KWA WATANZANIA.
1.kwa watanzania wote walio na wazazi wenye...
10 years ago
Habarileo30 Aug
Uraia pacha wabezwa
SUALA la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya wote kukubaliana zaidi juu ya hasara za kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya usalama wa taifa na uzalendo kupungua.
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Uraia pacha wakataliwa
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
Na mwandishi Wetu
RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imezika rasmi suala la uraia pacha. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mjadala kuhusu uraia pacha, huku Watanzania wanaoishi nje wakishinikiza kiwepo kipengele kwenye Katiba kinachoruhusu suala hilo.
Akiwasilisha rasimu hiyo jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba, Andrew Chenge, alisema hakutakuwa na uraia pacha isipokuwa watu wenye asili ya Tanzania ambao hawana uraia watapewa hadhi maalumu.
“Kamati ya Uandishi ilifanya utafiti...
10 years ago
Dewji Blog15 Aug
Mjadala; Watanzania Diaspora, Tunawataka wajenge vihenge nyumbani, lakini hatutaki wawe na haki kama tulio nyumbani, kwanini?
Ndugu zangu,
Leo alfajiri niliongoza mjadala kwenye redio za Kwanza Jamii na Nuru FM kuhusiana na kongamano linaloendelea Dar la Watanzania wa Diaspora wanaokutana nyumbani, Tanzania.
Ni kwa nini tuna hofu na Watanzania wenzetu walio ughaibuni? Hofu hii ni ya kihistoria.
Kwanini kongamano hili la kwanza kufanyika lisiwe la mwisho kufanyika katika sura yake hii, kwamba maudhui ya kongamano yenyewe kuwa ni ; connect, engage, inform and ivest nako kunakosekana dhana integration kwa maana ya...
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Kizungumkuti cha uraia pacha
11 years ago
Habarileo13 Aug
Uraia pacha pasua kichwa
SUALA la uraia wa nchi mbili, linaonekana kupasua vichwa vya wanakamati hasa wanaotoka Zanzibar, kutokana na historia ya nchi hiyo.
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Uraia pacha waota mbawa
MATUMAINI ya Watanzania waishio nje ya nchi kupata uraia pacha yameota mbawa baada ya serikali kuweka bayana kuna athari kubwa za kiusalama. Licha ya sababu hiyo ya serikali kutotaka liwemo...