Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kizungumkuti cha uraia pacha

Rais Jakaya Kikwete amewakosoa Watanzania wanaoishi ughaibuni kwa kile alichoeleza kuwa wameshindwa kujenga hoja ya kuwashawishi Watanzania wenzao kuhusu umuhimu wa kuwa na uraia pacha katika Katiba Mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KIJIWE CHA UGHAIBUNI - uraia pacha

Kijiwe No. 55 from Luke Joe on Vimeo.

 

10 years ago

Mtanzania

Uraia pacha wakataliwa

Bunge

Bunge

Na mwandishi Wetu

RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imezika rasmi suala la uraia pacha. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mjadala kuhusu uraia pacha, huku Watanzania wanaoishi nje wakishinikiza kiwepo kipengele kwenye Katiba kinachoruhusu suala hilo.

Akiwasilisha rasimu hiyo jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba, Andrew Chenge, alisema hakutakuwa na uraia pacha isipokuwa watu wenye asili ya Tanzania ambao hawana uraia watapewa hadhi maalumu.

“Kamati ya Uandishi ilifanya utafiti...

 

10 years ago

Habarileo

Uraia pacha wabezwa

SUALA la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya wote kukubaliana zaidi juu ya hasara za kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya usalama wa taifa na uzalendo kupungua.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uraia pacha waota mbawa

MATUMAINI ya Watanzania waishio nje ya nchi kupata uraia pacha yameota mbawa baada ya serikali kuweka bayana kuna athari kubwa za kiusalama. Licha ya sababu hiyo ya serikali kutotaka liwemo...

 

11 years ago

Michuzi

hoja ya haja: ............ la Uraia Pacha

Ankal,  mosi naomba nichukue wasaa huu kukushukuru kwa kazi nzuri ya kutuhabaraisha wana ughaibuni. Unatufikishia habari za nyumbani zinazotufariji tulio mbali na nyumbani. Ankal kabla kuendelea zaidi, napenda niseme machache ya moyoni kutokana na mada nzito ya juzi kutoka kwa kijana wetu mahiri john ,mashaka
naomba pia uniruhusu kusema machache kuhusu mwanazuoni John Mashaka kwa sababu ametugusa kwa mamilioni. na hapana shaka wasomaji wote wa hii blog watakubaliana na mimi kuhusiana na...

 

10 years ago

Habarileo

Uraia pacha pasua kichwa

SUALA la uraia wa nchi mbili, linaonekana kupasua vichwa vya wanakamati hasa wanaotoka Zanzibar, kutokana na historia ya nchi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge lilivyozika hoja ya uraia pacha

Matumaini ya uraia pacha kwa Watanzania waishio nje ya nchi yamepotea, baada ya Bunge la Katiba kupendekeza wapewe hadhi badala ya uraia.

 

10 years ago

Habarileo

Uraia pacha bado ‘jiwe gumu’

URAIA pacha kwa Watanzania walioko nje ya nchi jana uliendelea kutawala katika mijadala kwenye Bunge la Katiba huku wengi waliochangia wakikubaliana wasio na uraia Katiba iruhusu wapewe chini ya utaratibu wa uraia wa pacha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

EAC yashauriwa kuruhusu uraia pacha

MWANASHERIA Mkuu mstaafu wa Kenya, Amos Wako, amezishauri nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuruhusu wananchi wao kuwa na uraia pacha. Alisema Katiba mpya ya Kenya imetambua suala hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani