Uraia pacha bado ‘jiwe gumu’
URAIA pacha kwa Watanzania walioko nje ya nchi jana uliendelea kutawala katika mijadala kwenye Bunge la Katiba huku wengi waliochangia wakikubaliana wasio na uraia Katiba iruhusu wapewe chini ya utaratibu wa uraia wa pacha.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_Ppci2ehYXg/Uxaty4r6lxI/AAAAAAAFRJw/gREL5c0_Sqs/s72-c/images.jpg)
aluta kontinyua: Uraia pacha - hata kama anaishi Kenya au China bado ni Mtanzania mwenzako...
![](http://4.bp.blogspot.com/-_Ppci2ehYXg/Uxaty4r6lxI/AAAAAAAFRJw/gREL5c0_Sqs/s1600/images.jpg)
tusiwashangae Watanzania wa ughaibuni wanaolipendekeza suala hili ili kuilinda haki yao ya msingi ya kuzaliwa Tanzania na kutuomba Watanzania wote tuliunge mkono. Sisi tunaoishi Tanzania ni Watanzania na wao ni Watanzania vile...
10 years ago
Habarileo30 Aug
Uraia pacha wabezwa
SUALA la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya wote kukubaliana zaidi juu ya hasara za kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya usalama wa taifa na uzalendo kupungua.
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Uraia pacha wakataliwa
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
Na mwandishi Wetu
RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imezika rasmi suala la uraia pacha. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mjadala kuhusu uraia pacha, huku Watanzania wanaoishi nje wakishinikiza kiwepo kipengele kwenye Katiba kinachoruhusu suala hilo.
Akiwasilisha rasimu hiyo jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba, Andrew Chenge, alisema hakutakuwa na uraia pacha isipokuwa watu wenye asili ya Tanzania ambao hawana uraia watapewa hadhi maalumu.
“Kamati ya Uandishi ilifanya utafiti...
11 years ago
Michuzi09 Apr
hoja ya haja: ............ la Uraia Pacha
naomba pia uniruhusu kusema machache kuhusu mwanazuoni John Mashaka kwa sababu ametugusa kwa mamilioni. na hapana shaka wasomaji wote wa hii blog watakubaliana na mimi kuhusiana na...
10 years ago
Habarileo13 Aug
Uraia pacha pasua kichwa
SUALA la uraia wa nchi mbili, linaonekana kupasua vichwa vya wanakamati hasa wanaotoka Zanzibar, kutokana na historia ya nchi hiyo.
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Uraia pacha waota mbawa
MATUMAINI ya Watanzania waishio nje ya nchi kupata uraia pacha yameota mbawa baada ya serikali kuweka bayana kuna athari kubwa za kiusalama. Licha ya sababu hiyo ya serikali kutotaka liwemo...
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Kizungumkuti cha uraia pacha
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
EAC yashauriwa kuruhusu uraia pacha
MWANASHERIA Mkuu mstaafu wa Kenya, Amos Wako, amezishauri nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuruhusu wananchi wao kuwa na uraia pacha. Alisema Katiba mpya ya Kenya imetambua suala hilo...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-I7Hrm9hj-fQ/U09o3OwIXhI/AAAAAAAFbb4/VSK88jOZR0s/s72-c/IMG_5590.jpg)
ALUTA KONYINYUA - Uraia Pacha na Uzalendo
![](http://2.bp.blogspot.com/-I7Hrm9hj-fQ/U09o3OwIXhI/AAAAAAAFbb4/VSK88jOZR0s/s1600/IMG_5590.jpg)