ALUTA KONYINYUA - Uraia Pacha na Uzalendo
![](http://2.bp.blogspot.com/-I7Hrm9hj-fQ/U09o3OwIXhI/AAAAAAAFbb4/VSK88jOZR0s/s72-c/IMG_5590.jpg)
Katika siku zilizopita suala la uraia pacha lilikuwa gumzo kwa Watanzania waishio kwenye Diaspora na wale waishio Tanzania.
Lengo kubwa la gumzo au mjadala huu lilikuwa ni kujadili kama uraia pacha unaweza kuruhusiwa kwa raia yeyote wa Tanzania au kwa mtizamo mwingine, na lengo ni kuelimisha umma kuwa mtu yeyote aliyezaliwa Tanzania na atakayepata uraia wa pili hawezi kupoteza haki yake ya kuwa Mtanzania.
Suala hili bado linajadiliwa na Watanzania lakini bado wapo Watanzania wanaopinga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_Ppci2ehYXg/Uxaty4r6lxI/AAAAAAAFRJw/gREL5c0_Sqs/s72-c/images.jpg)
aluta kontinyua: Uraia pacha - hata kama anaishi Kenya au China bado ni Mtanzania mwenzako...
![](http://4.bp.blogspot.com/-_Ppci2ehYXg/Uxaty4r6lxI/AAAAAAAFRJw/gREL5c0_Sqs/s1600/images.jpg)
tusiwashangae Watanzania wa ughaibuni wanaolipendekeza suala hili ili kuilinda haki yao ya msingi ya kuzaliwa Tanzania na kutuomba Watanzania wote tuliunge mkono. Sisi tunaoishi Tanzania ni Watanzania na wao ni Watanzania vile...
10 years ago
Habarileo30 Aug
Uraia pacha wabezwa
SUALA la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya wote kukubaliana zaidi juu ya hasara za kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya usalama wa taifa na uzalendo kupungua.
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Uraia pacha wakataliwa
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
Na mwandishi Wetu
RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imezika rasmi suala la uraia pacha. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mjadala kuhusu uraia pacha, huku Watanzania wanaoishi nje wakishinikiza kiwepo kipengele kwenye Katiba kinachoruhusu suala hilo.
Akiwasilisha rasimu hiyo jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba, Andrew Chenge, alisema hakutakuwa na uraia pacha isipokuwa watu wenye asili ya Tanzania ambao hawana uraia watapewa hadhi maalumu.
“Kamati ya Uandishi ilifanya utafiti...
11 years ago
Michuzi09 Apr
hoja ya haja: ............ la Uraia Pacha
naomba pia uniruhusu kusema machache kuhusu mwanazuoni John Mashaka kwa sababu ametugusa kwa mamilioni. na hapana shaka wasomaji wote wa hii blog watakubaliana na mimi kuhusiana na...
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Kizungumkuti cha uraia pacha
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Uraia pacha waota mbawa
MATUMAINI ya Watanzania waishio nje ya nchi kupata uraia pacha yameota mbawa baada ya serikali kuweka bayana kuna athari kubwa za kiusalama. Licha ya sababu hiyo ya serikali kutotaka liwemo...
10 years ago
Habarileo13 Aug
Uraia pacha pasua kichwa
SUALA la uraia wa nchi mbili, linaonekana kupasua vichwa vya wanakamati hasa wanaotoka Zanzibar, kutokana na historia ya nchi hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
JK: Msitetee uraia pacha kwenye blogu
RAIS Jakaya Kikwete, amewataka Watanzania waishio nje ya nchi na wanaotaka kuona Tanzania inakubali kuanzisha mfumo wa uraia pacha, kutumia muda wao kujenga hoja za jambo hilo badala ya kupoteza...
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Bunge lilivyozika hoja ya uraia pacha