Mjadala; Watanzania Diaspora, Tunawataka wajenge vihenge nyumbani, lakini hatutaki wawe na haki kama tulio nyumbani, kwanini?
Ndugu zangu,
Leo alfajiri niliongoza mjadala kwenye redio za Kwanza Jamii na Nuru FM kuhusiana na kongamano linaloendelea Dar la Watanzania wa Diaspora wanaokutana nyumbani, Tanzania.
Ni kwa nini tuna hofu na Watanzania wenzetu walio ughaibuni? Hofu hii ni ya kihistoria.
Kwanini kongamano hili la kwanza kufanyika lisiwe la mwisho kufanyika katika sura yake hii, kwamba maudhui ya kongamano yenyewe kuwa ni ; connect, engage, inform and ivest nako kunakosekana dhana integration kwa maana ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
NYUMBANI NA DIASPORA
Ni kipindi kipya cha saa nzima chenye kuhusiana na Watanzania wa nyumbani na walio nje ya mipaka yetu. Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa. Ni kipindi kitakachoongozwa na mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli hapa nchini. Si mwingine ni Maggid Mjengwa. Jiunge nae kufuatilia mahojiano motomoto na watu wa kada mbalimbali kwenye masuala ya kiuchumi, kijamii na kitamaduni. Ni...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Kwanini usingizie foleni unapochelewa nyumbani?
WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam bila shaka wanaelewa ni jinsi gani barabara zetu zilivyo na msongamano (foleni) kiasi cha kusababisha watumiaji wa barabara hizo kushindwa kupangilia shughuli zao....