Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYUMBANI NA DIASPORA TBC1

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kumekucha kipindi kipya cha ‘NYUMBANI NA DIASPORA..! ndani ya TBC1 Ijumaa hii Juni 26

DSC_6035.jpgll

Mwanzilishi na mtayarishaji wa kipindi cha NYUMBANI NA DIASPORA, Bw. Maggid Mjengwa (katikati) akitambulisha rasmi kipindi hicho cha televisheni kitakachokuwa kikiruka kila Ijumaa kupitia TBC1. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Diaspora Initiative, Emmanuel  Mwachullah   na kushoto ni Mkurugenzi wa Diaspora, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi.Rosemary Jairo walipokuwa katika mkutano huo katika ukumbi wa Idara habari Maelezo mapema leo Juni 25.

Na Andrew...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mjadala; Watanzania Diaspora, Tunawataka wajenge vihenge nyumbani, lakini hatutaki wawe na haki kama tulio nyumbani, kwanini?

MJENGWA

Ndugu zangu,

Leo alfajiri niliongoza mjadala kwenye redio za Kwanza Jamii na Nuru FM kuhusiana na kongamano linaloendelea Dar la Watanzania wa Diaspora wanaokutana nyumbani, Tanzania.

Ni kwa nini tuna hofu na Watanzania wenzetu walio ughaibuni? Hofu hii ni ya kihistoria.

Kwanini kongamano hili la kwanza kufanyika lisiwe la mwisho kufanyika katika sura yake hii, kwamba maudhui ya kongamano yenyewe kuwa ni ; connect, engage, inform and ivest nako kunakosekana dhana integration kwa maana ya...

 

10 years ago

Vijimambo

NYUMBANI NA DIASPORA



Ni kipindi kipya cha saa nzima chenye kuhusiana na Watanzania wa nyumbani na walio nje ya mipaka yetu. Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa. Ni kipindi kitakachoongozwa na mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli hapa nchini. Si mwingine ni Maggid Mjengwa. Jiunge nae kufuatilia mahojiano motomoto na watu wa kada mbalimbali kwenye masuala ya kiuchumi, kijamii na kitamaduni. Ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani