Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWALIKO WA MKUTANO KWA WATANZANIA WAISHIO DMV


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.

Bw Kisasi mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi. Bi Rosemary Chambe Jairo Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.…

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WAISHIO DMV USA WALIPOKUTANA KUMSIKILIZA MH. ISMAIL JUSSA, ALIPOELEZEA UCHAKACHULIWAJI WA MAONI YA KATIBA NA KUELEZEA SABABU ZINAZOIFANYA UKAWA KWA NINI HAITOSHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI

Kabla ya mkutano kuanza, picha ya juu na chini zinazofuata, zikionyesha  kisimamo cha dakika moja kumuombe na kada  na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, John Komba

MC katika mkutano huo, Bw.Libe Mwang'ombe, aliyeumudu kuuendesha mkutano kwa utaratibu uliotakiwa na kwa usalama hadi mwisho bila jazba hadi mwisho masuali yaliulizwa kwa vifungu na kujibiwa ipasavyo   Dada Salma akiuliza suali kwa wakati wake, masuali mengi yaliulizwa na wadau mbali mbali ambyo yalikuwa ya msingi kwa mustakabali...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA MBALIMBALI MKUTANO WA JIONI WA WASABATO WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI


Mchungaji Geoffrey Mbwana ambaye pia ni makamu wa Rais wa Wasabato Duniani akielezea hali ya kanisa lilivyo leo huku pia akiongoza kuimbisha nyimbo mbalimbali kwenye mkutano mkubwa wa neno la Mungu wa Wasabato Watanzania waishio nchini Marekani uliofanyika mida ya jioni siku ya Jumamosi April 18, 2015 Silver Spring, Maryland.
Mchungaji Celeb Migomvbo akielezea somo la wanandoa na vitu gani vya kuepeka vinavyosababisha kuvunja mahusiano ya wapendanao.
Maliyatabu mmoja ya waratibu wa mkutano...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU WA WASABATO WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI WATOTO WATENGEWA SEHEMU YAO.

 Watoto wakiwa sehemu yao chini ya uangalizi maalumu huku wazazi wao wakihudhuria mkutano mkubwa wa neno la Mungu unaondelea DMV kwa siku nne ikiwa leo Jumampili April 19, 2015 ndio hitimisho la mkutano huo. Watoto wakiangalia vipindi vya watoto kwenye luninga. Msimamizi wa watoto Tanya Muganda akielekeza jambo. Tanya Muganda akiwapatia zawadi watoto

 

11 years ago

Dewji Blog

Huduma ya BURE ya kukagua afya kwa waishio DMV, Marekani



Wataalam wa afya DMV (HCP Metro DC) wanatuleta huduma ya afya kwa wale wasiokuwa na bima ya afya. Huduma hii itatolewa kwa usawa bila kujali dini,rangi,umri,uraia au uchumi.

Kama una rafiki, ndugu au  mzazi asiyekuwa na bima ya afya tunaomba mshiriki ili tuwe na jamii inayoshamiri na yenye afya njema. Zoezi hili litachukuwa hatua ya kuwaona wale watakaokuwa na hali pungufu ya afya njema mara moja kwa mwezi.

Tarehe: 04/12/2014   (Jumamosi)

Saa 3:00 asubuhi hadi mchana 7:00 (waweza kuja...

 

9 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani