Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwaliko wa Uchaguzi 2015 leo DMV


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MISA YA KUMBUKUMBU DMV LEO JUMAMOSI APRIL 11, 2015

Familia ya Stephen na Esther Msungu wanapenda kuwakaribisha kwenye misa ya kumbukumbu ya wapendwa wao baba yake Stephen Mzee Peter Dremus Msungu aliyefariki Tanzania February 20,2015, na kaka yake Esther, Gerald Arthur Natumwa aliyefariki Tanzania March 15,2015.Misa itafanyika April 11,2015 kuanzia saa 10 jioni (4) katika kanisa la St. Edward Roman Catholic Church.Anuani ya kanisa ni901 Poplar Grove StBaltimore Md 21216Kwa maelezo zaidi, unaweza wasiliana naStephen Msungu 240 476 9056.Esther...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV unapenda kuwajulisha watanzania wote kukaa mkao wa kula , kwa ajili ya sherehe za muungano zitakazofanyika, Jumamosi April 25, 205.
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
Wadhamini WanakaribishwaWasiliana na uongozi kupitia
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...

 

10 years ago

Michuzi

NEC YATOA MWALIKO WA WAANGALIZI WA NDANI WA UCHAGUZI MKUU .


 Na Jovina Bujulu.
Taasisi na Asasi mbalimbali zimetakiwa kutuma maombi kwenye ya  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu utatarajia kufanyika mwezi oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tume hiyo leo jijini Dar es salaam, imezitaka taasisi na asasi zenye nia ya kuwa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu ujao kuwasilisha maombi yao katika ofisi ya NEC kuanzia  Julai 5 hadi Oktoba 6 mwaka huu.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa waombaji wanatakiwa kuwalisha maombi...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Taarifa Rasmi Kutoka UKAWA Kuhusu Uchaguzi Mkuu Unaoendelea Leo- 25/10/2015

1. Hali ya vitisho vya jeshi la polisi na kamata kamata iliyoanza jana usiku hadi leo asubuhi. Wawaache wananchi watumie haki yao ya kikatiba kumchagua kiongozi wanayemtaka. 2. Suala la watu wenye kadi lakini majina yao hayapo, ambapo kisheria inatakiwa msimamizi awape fomu namba 19 kisha waijaze na kupiga kura. Tumewataka wananchi kutokuondoka vituoni hadi wapate haki hiyo ya kujaza fomu

 

9 years ago

Vijimambo

MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA MAAFISA UCHAGUZI MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANYIKA LEO OCTOBA 3, 2015

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecki Sadiki Akifungua mafunzo ya siku mbili ya waratibu wa Uchaguzi,Wasimamizi wa Uchaguzi, Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi na Maafisa uchaguzi leo Octoba 3, 2015 jijini Dar es salaam.
Picha na Aron Msigwa- MAELEZO.
Waratibu wa Uchaguzi,Wasimamizi wa Uchaguzi, Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi na Maafisa uchaguzi waliohudhuria mafunzo leo jijini Dar es salaam kujiandaa usimamizi wa uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 25 mwaka huu.

Na.Aron...

 

9 years ago

Michuzi

TAMKO LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU UHURU, HAKI NA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU LEO TAREHE 17.09.2015

SISI, viongozi wa dini pamoja na taasisi zinazosimamia mchakato wa uchaguzi (NEC, TAKUKURU, Polisi pamoja na Msajili wa vyama vya siasa)  tuliokutana leo tarehe 17/9/2015, tumepata nafasi ya kujadili kwa kina suala la uhuru,haki na amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika 25/10/2015 na wajibu wa kila mdau kuhakikisha kuwa uhuru,haki na amani vinalindwa kipindi hiki.Suala la uhuru haki na amani ni wajibu wetu sisi viongozi wa dini na watanzania wote kwa ujumla na halina mjadala.Kila mmoja...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete Afungua kikao cha kuipitia Ilani ya Uchaguzi wa 2015, mjini Dodoma leo

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionyesha kitabu ya Rasimu ya Ilani ya CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, wakati wa Kikao cha Kamati Kuu cha kuijadili na kuipitisha Ilani hiyo kinachofanyika, leo Julai 4, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM Makao Makuu, Mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani