NEC YATOA MWALIKO WA WAANGALIZI WA NDANI WA UCHAGUZI MKUU .
![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8VOReEO-LQ/VZarLLbtGFI/AAAAAAAC8Nk/YqGgUG8Oxyc/s72-c/download-2.jpg)
Na Jovina Bujulu.
Taasisi na Asasi mbalimbali zimetakiwa kutuma maombi kwenye ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu utatarajia kufanyika mwezi oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tume hiyo leo jijini Dar es salaam, imezitaka taasisi na asasi zenye nia ya kuwa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu ujao kuwasilisha maombi yao katika ofisi ya NEC kuanzia Julai 5 hadi Oktoba 6 mwaka huu.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa waombaji wanatakiwa kuwalisha maombi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Oi8IGTb-jSKc3Kp4A7O1whjBuDbIgDSGfxD1GXVKD4lZXCHpjavyxatOM-0TezbjynW89-q7O2*Uy-pWKznihlfYmHgyEpid/JAJILUBUVA.jpg)
NEC YATOA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WBXIK59U1UU/VWLq1NMbGwI/AAAAAAAHZlw/OvUcLHDyC9c/s72-c/140131072218_tanzania_elections_512x288_afp.jpg)
NEC yatoa Ratiba Rasmi ya Uchaguzi Mkuu.
![](http://3.bp.blogspot.com/-WBXIK59U1UU/VWLq1NMbGwI/AAAAAAAHZlw/OvUcLHDyC9c/s640/140131072218_tanzania_elections_512x288_afp.jpg)
10 years ago
Habarileo04 Jul
NEC yaalika waangalizi wa uchaguzi
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imealika maombi kutoka taasisi na asasi mbalimbali ambazo zinahitaji kutazama Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar10 Sep
Membe awaonya waangalizi wa uchaguzi kutoa matamko kabla ya NEC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Na Peter Elias – Mwananchi Alhamisi, Septemba 10, 2015 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema waangalizi wa uchaguzi hawatakiwi […]
The post Membe awaonya waangalizi wa uchaguzi kutoa matamko kabla ya NEC appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Membe awaonya waangalizi wa uchaguzi kutotoa matamko kabla ya NEC
9 years ago
MichuziWaangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25
9 years ago
VijimamboWAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.
9 years ago
StarTV30 Oct
Waangalizi wa ndani waeleza kuridhishwa mwenendo wa uchaguzi
Ripoti ya waangalizi wa ndani katika Mkoa wa Arusha imeeleza kuridhishwa na mwenendo wa mchakato wa uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 katika majimbo yote ya mkoa huo licha ya kujitokeza kwa dosari ndogondogo.
Baadhi ya changamoto ambazo ripoti hiyo imeainisha ni pamoja na kutokuwepo kwa elimu ya upigaji kura na uraia kwa baadhi ya wananchi,mawakala na wasimamizi wa uchaguzi .
Baadhi ya wajumbe wa timu hiyo akiwemo Afisa mipango msaidizi wa Mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali na yale ya...
9 years ago
Habarileo09 Oct
Maombi yote waangalizi uchaguzi mkuu yakubaliwa
WIKI mbili kabla ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani nchini, waangalizi kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Umoja wa Nchi za Ulaya (EU), wametuma maombi ya kushiriki katika uchaguzi huo na kukubaliwa.