Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo. Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akisaini Hati ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua.

Bibi Judith Sargentini Mbunge wa Bunge la ummoja wa Ulaya Friday, September 25, 2015 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kazi ya waangalizi wa muda mrefu itairuhusu EU EOM kufanya tathmini ya kina ya mchakato wa […]

The post Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua. appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

WAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe Armando Emilio Guebuza. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (Katikati kulia) akimfafanulia jambo Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe...

 

9 years ago

Vijimambo

UMOJA WA ULAYA KUTUMA WAANGALIZI WA UCHAGUZI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo.Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akisaini Hati ya...

 

9 years ago

Michuzi

MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015

Mtoa mada katika Mdahalo kuhusu Amani, Umoja na Haki Tanzania, Bw. Humphrey Polepole akielezea mawazo yake mbele ya washiriki katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana nyuma ni Balozi Getrude Mongela. Mdahalo huo uliorushwa moja kwa moja na Kituo cha Televisheni cha ITV. Picha na Said Ng’amilo.Washiriki waliohudhuria katika mdahalo kuhusu Amani Umoja na Haki uliofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

GPL

MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015‏


Mtoamada katika Mdahalo kuhusu Amani, Umoja na Haki Tanzania, Bw. Humphrey Polepole akielezea mawazo yake mbele ya washiriki katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana nyuma ni Balozi Getrude Mongela.Mdahalo huo uliorushwa moja kwa moja na Kituo cha Televisheni cha ITV.…

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MWANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA NCHI ZA ULAYA IKULU DAR, AAGANA NA BALOZI WA MALAWI TANZANIA.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 30, 2015 kwa ajili ya kumuaga rasmi akienda kuanza kazi nchini Malawi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwangalizi Mkuu wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Nchi za Ulaya, Judith Sergentine (kushoto) na Balozi wa Umoja wa Nchi...

 

10 years ago

Mwananchi

Sh700 bil kutumika kufuatilia Uchaguzi Mkuu

Zaidi ya Sh720 bilioni zitatumika kuanika ‘uozo’ wakati wa mchakato wa uandikishaji wapiga kura, kura ya maoni na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani