Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMOJA WA ULAYA KUTUMA WAANGALIZI WA UCHAGUZI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo.Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akisaini Hati ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo. Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akisaini Hati ya...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua.

Bibi Judith Sargentini Mbunge wa Bunge la ummoja wa Ulaya Friday, September 25, 2015 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kazi ya waangalizi wa muda mrefu itairuhusu EU EOM kufanya tathmini ya kina ya mchakato wa […]

The post Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua. appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Habarileo

EU kutuma waangalizi wa uchaguzi 128 nchini

UMOJA wa Ulaya (EU) utatuma timu ya waangalizi yenye wajumbe 128 nchi nzima kwa ajili ya kushiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015.

 

9 years ago

Mtanzania

Waangalizi Umoja wa Ulaya wawasili

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

 

UJUMBE wa waangalizi 34 wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU), wamewasili Dar es Salaam kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa uchaguzi mkuu.

Waangalizi  hao wanaungana na kundi kuu la EU EOM la watathmini wa uchaguzi  ambao waliwasili Septemba 11, mwaka huu.

Msafara wa  EU EOM nchini Tanzania, utaongozwa na Mbunge wa Bunge la Ulaya kutoka nchini Uholanzi, Judith Sargentini.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mjini Dar es Salaam jana na Ofisa Habari wa...

 

9 years ago

Vijimambo

WAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe Armando Emilio Guebuza. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (Katikati kulia) akimfafanulia jambo Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe...

 

9 years ago

Michuzi

EU KUTUMA WAANGALIZI 128 KWAAJILI YA UICHAGUZI MKUU

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Mambo...

 

9 years ago

Mwananchi

Umoja wa Ulaya wasikitishwa uchaguzi kufutwa Zanzibar

Ujumbe wa Umoja wa Ulaya wasikitishwa kwa kitendo cha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufuta uchaguzi na matokeo licha ya maoni chanya ya mwenendo wa uchaguzi huo yaliyotolewa na waangalizi wa kimataifa. Umoja huo wa Ulaya wametoa wito kwa ZEC kupitia taarifa yao waliyoituma leo kwa vyombo vya habari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani