Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EU KUTUMA WAANGALIZI 128 KWAAJILI YA UICHAGUZI MKUU

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Mambo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

EU kutuma waangalizi wa uchaguzi 128 nchini

UMOJA wa Ulaya (EU) utatuma timu ya waangalizi yenye wajumbe 128 nchi nzima kwa ajili ya kushiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015.

 

9 years ago

Vijimambo

UMOJA WA ULAYA KUTUMA WAANGALIZI WA UCHAGUZI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo.Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akisaini Hati ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mke wa Waziri Mkuu achangisha Milioni 128 kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa jijini Dar

Mke wa Waziri Mkuu,MamaTunu Pinda akipokea kiasi cha dola elfu moja kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko utafiti na huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB,Tully Esther Mwampamba kama mchango wake wa kuendeleza ujenzi wa Kanisa la kiinjili Moroviani Tanzania (KKMT) Mburahati jijini Dar es salaam.kulia ni Askofu David Martin Mwalyambile wa kanisa hilo Mama Pinda alikuwa mgeni rasimi katika kuendesha harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa hilo ambapo kuliweza kupatikana kiasi cha shilingi milioni mia...

 

9 years ago

Habarileo

Maombi yote waangalizi uchaguzi mkuu yakubaliwa

WIKI mbili kabla ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani nchini, waangalizi kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Umoja wa Nchi za Ulaya (EU), wametuma maombi ya kushiriki katika uchaguzi huo na kukubaliwa.

 

10 years ago

Michuzi

NEC YATOA MWALIKO WA WAANGALIZI WA NDANI WA UCHAGUZI MKUU .


 Na Jovina Bujulu.
Taasisi na Asasi mbalimbali zimetakiwa kutuma maombi kwenye ya  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu utatarajia kufanyika mwezi oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tume hiyo leo jijini Dar es salaam, imezitaka taasisi na asasi zenye nia ya kuwa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu ujao kuwasilisha maombi yao katika ofisi ya NEC kuanzia  Julai 5 hadi Oktoba 6 mwaka huu.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa waombaji wanatakiwa kuwalisha maombi...

 

9 years ago

Mwananchi

Marais wastaafu Afrika kuongoza waangalizi Uchaguzi Mkuu

Marais wastaafu; Goodluck Jonathan wa Nigeria na Armando Guebuza wa Msumbuji wataongoza jopo la waangalizi wa kimataifa wanaotarajiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua.

Bibi Judith Sargentini Mbunge wa Bunge la ummoja wa Ulaya Friday, September 25, 2015 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kazi ya waangalizi wa muda mrefu itairuhusu EU EOM kufanya tathmini ya kina ya mchakato wa […]

The post Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua. appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

EU kutuma wangalizi wa Uchaguzi mkuu wiki ijaya

The post EU kutuma wangalizi wa Uchaguzi mkuu wiki ijaya appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

StarTV

Waangalizi wa EAC waahidi kufanya kazi kwa kufuata sheria katika Uchaguzi mkuu.

Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), imezinduliwa jijini Dar es Salaam na kusema itafanya kazi yake kwa kufuata sheria za nchi na kanuni za jumuiya hiyo.

Timu hiyo ina jumla ya waangalizi 67 wa kutoka nchi NNEe kati ya tano ambao ni Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, Mwenyekiti akiwa Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya, Moody Awori.

 Waangalizi hao miongoni mwao ni wabunge wa        Bunge la Afrika Mashariki, Tume za Taifa za Uchaguzi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani