Waangalizi wa EAC waahidi kufanya kazi kwa kufuata sheria katika Uchaguzi mkuu.
Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), imezinduliwa jijini Dar es Salaam na kusema itafanya kazi yake kwa kufuata sheria za nchi na kanuni za jumuiya hiyo.
Timu hiyo ina jumla ya waangalizi 67 wa kutoka nchi NNEe kati ya tano ambao ni Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, Mwenyekiti akiwa Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya, Moody Awori.
Waangalizi hao miongoni mwao ni wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Tume za Taifa za Uchaguzi,...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wu_jzvmv_pc/VUot_w-d03I/AAAAAAAAAYY/ofX1VHDlt0c/s72-c/DSC_0671.jpg)
WAFUGAJI WATAKIWA KUFANYA SHUGHULI ZAO KWA KUFUATA SHERIA-CCWT
9 years ago
VijimamboWAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.
10 years ago
MichuziKAMISHINA KOVA AWATAKA MAAFISA NA ASKARI KUFANYA KAZI KWA WELEDI KWA KUFUATA MAADILI
Kamishna Kova ameyasema hayo mwanzoni mwa wiki hii wakati akiongea na Maafisa na Wakaguzi wa Polisi katika kikao cha utendaji kilichofanyika katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kinondoni, jijini Dar es Salaam na kusisitiza...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Watumishi wa kada za afya watakiwa kufanya kazi kwa kufuata maadili
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akimjulia hali mama aliyejifungua kwenye wodi ya wazazi hospitali teule ya rufaa ya mkoa wa Geita.(Picha Zote na Catherine Sungura WAMJW-GEITA).
Tabibu wa kituo cha afya Nyankumbu, Abdallah Kiroboto akimsikiliza Waziri Ummy mara alipoingia kwenye chumba cha kutolea huduma, pembeni ni mama aliyefika kituoni hapo na watoto wake kupata matibabu.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy...
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Watumishi wa kada za afya nchini watakiwa kufanya kazi kwa kufuata maadili na viapo vya taaluma zao
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akimjulia hali mama aliyejifungua kwenye wodi ya wazazi hospitali teule ya rufaa ya mkoa wa Geita.
Wauguzi wa wodi ya akinamama katika hospitali teule ya mkoa wa Geita.
Tabibu wa kituo cha afya Nyankumbu, Abdallah Kiroboto akimsikiliza Waziri Ummy mara alipoingia kwenye chumba cha kutolea huduma, pembeni ni mama aliyefika kituoni hapo na watoto wake kupata matibabu.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,...
9 years ago
MichuziWaangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25
10 years ago
MichuziWatumishi Katiba na Sheria waaswa kufanya kazi kwa malengo
Akizungumza na watumishi wa makao makuu ya Wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Novemba 20, 2014), Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi amesema ushirikiano na upendo ni ngunzo muhimu za mafanikio katika taasisi yoyote.
“Watumishi wa umma, hasa tuliopo Dar es Salaam, tunatumia muda mrefu tukiwa kazini hivyo tunatakiwa tupendane na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ZwiJttOY8Cw/VJJ9HOiFCDI/AAAAAAAG4Co/x8Lpe0OwGyE/s72-c/unnamed%2B(49).jpg)
WIZARA YA KAZI ZANZIBAR KWA KUSHIRIKIANA NA (ILO) YAZINDUA KITABU CHA SHERIA ZA KAZI KATIKA LUGHA NYEPESI
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZwiJttOY8Cw/VJJ9HOiFCDI/AAAAAAAG4Co/x8Lpe0OwGyE/s1600/unnamed%2B(49).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-VkRn0ALDvrg/VJJ9HIKGluI/AAAAAAAG4Cw/Sog9_ncjZLw/s1600/unnamed%2B(50).jpg)
9 years ago
Habarileo09 Oct
Maombi yote waangalizi uchaguzi mkuu yakubaliwa
WIKI mbili kabla ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani nchini, waangalizi kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Umoja wa Nchi za Ulaya (EU), wametuma maombi ya kushiriki katika uchaguzi huo na kukubaliwa.