Maombi yote waangalizi uchaguzi mkuu yakubaliwa
WIKI mbili kabla ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani nchini, waangalizi kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Umoja wa Nchi za Ulaya (EU), wametuma maombi ya kushiriki katika uchaguzi huo na kukubaliwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWaangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25
9 years ago
VijimamboWAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Sep
Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua.
Bibi Judith Sargentini Mbunge wa Bunge la ummoja wa Ulaya Friday, September 25, 2015 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kazi ya waangalizi wa muda mrefu itairuhusu EU EOM kufanya tathmini ya kina ya mchakato wa […]
The post Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua. appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Marais wastaafu Afrika kuongoza waangalizi Uchaguzi Mkuu
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8VOReEO-LQ/VZarLLbtGFI/AAAAAAAC8Nk/YqGgUG8Oxyc/s72-c/download-2.jpg)
NEC YATOA MWALIKO WA WAANGALIZI WA NDANI WA UCHAGUZI MKUU .
![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8VOReEO-LQ/VZarLLbtGFI/AAAAAAAC8Nk/YqGgUG8Oxyc/s640/download-2.jpg)
Na Jovina Bujulu.
Taasisi na Asasi mbalimbali zimetakiwa kutuma maombi kwenye ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu utatarajia kufanyika mwezi oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tume hiyo leo jijini Dar es salaam, imezitaka taasisi na asasi zenye nia ya kuwa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu ujao kuwasilisha maombi yao katika ofisi ya NEC kuanzia Julai 5 hadi Oktoba 6 mwaka huu.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa waombaji wanatakiwa kuwalisha maombi...
9 years ago
StarTV21 Oct
Waangalizi wa EAC waahidi kufanya kazi kwa kufuata sheria katika Uchaguzi mkuu.
Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), imezinduliwa jijini Dar es Salaam na kusema itafanya kazi yake kwa kufuata sheria za nchi na kanuni za jumuiya hiyo.
Timu hiyo ina jumla ya waangalizi 67 wa kutoka nchi NNEe kati ya tano ambao ni Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, Mwenyekiti akiwa Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya, Moody Awori.
Waangalizi hao miongoni mwao ni wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Tume za Taifa za Uchaguzi,...
9 years ago
MichuziWAANGALIZI WA KIMATAIFA WA UCHAGUZI WAENDELEA KUPATA UFAFANUZI JUU YA MASUALA YANAYOHUSIANA NA VYAMA VYA SIASA NA UCHAGUZI.
9 years ago
Habarileo25 Oct
Waangalizi uchaguzi waridhika
WAANGALIZI wa Uchaguzi Mkuu kutoka nchi za Maziwa Makuu, wameridhishwa na kutosheka na hali ya utulivu na kukomaa kwa demokrasia nchini, wakati wote wa kampeni licha ya kuwepo na tofauti za kisera.
9 years ago
Habarileo30 Oct
Waangalizi wasifia uchaguzi
UMOJA wa Waangalizi wa Ndani wa Uchaguzi Tanzania (CEMOT), umepongeza mchakato wa uchaguzi wakisema sheria na kanuni vimezingatiwa na kuheshimiwa.