Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAANGALIZI WA KIMATAIFA WA UCHAGUZI WAENDELEA KUPATA UFAFANUZI JUU YA MASUALA YANAYOHUSIANA NA VYAMA VYA SIASA NA UCHAGUZI.

 Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini . Jaji Francis S. K  Mutungi akizungumza na Waangalizi wa  uchaguzi Mkuu  kutoka Bunge la Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo jana Oktoba 21,2015. Baadhi ya Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Bunge la Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)kushoto ni Msajili Msaidizi Usajili wa Vyama vya Siasa Bw. Sisty Nyahoza akielezea utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa ,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VYAMA VYA SIASA ,MASHIRIKA BINAFSI KATIKA MDAHALO JUU YA UCHAGUZI MKUU

Ofisa Mkuu kutoka taasisi ya Uandishi wa Habari na Utangazaji EABMT Rosemary Mwakitwange akifafanua jambo katika Mdahalo juu ya uchaguzi mkuu ujao kuhakikisha haki na amani inatawala,mdahalo huo ulishirikisha wanasiasa kutoka vyama vya siasa CHADEMA,CCM,CUF,NCCR na vingine pamoja na taasisi binafsi na viongozi wa kiserikali,mdahalo huo umeandaliwa na shirika la TWAWEZA umefanyika jana jijini Arusha. Washiriki wa Mdahalo juu ya uchaguzi mkuu ujao kuhakikisha haki na amani inatawala...

 

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

5 years ago

Michuzi

Tume ya Uchaguzi imekutana na vyama vya siasa kujadili na kupitisha kanuni na maadili kwa uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020



Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu
Semistocles Kaijage, akizungumza katika Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, akifafanua hoja zilizotolewa na Washiriki wa Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na...

 

11 years ago

Michuzi

Tume ya Uchaguzi yavitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kuwatumia mawakala kutoka ndani ya jimbo hilo

TUME ya Taifa ya uchaguzi imevitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kuhakikisha kuwa wanawatumia mawakala wanaotoka katika maeneo au vituo husika vya kupigia kura,ambao watawafahamua na kuwatambua wapiga kura wa eneo husika. 
Akizungumza katika mkutano baina ya vyama vya siasa na tume hiyo,Mwenyekiti wa Tume hiyo,Jaji mstaafu Damiani Lubuva amesema kuwa pamoja na kuwa sheria haikatazi kwa vyama kuteua mawakala wa vyama kutoka majimbo mengine ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Mwananchi

Hivi ndivyo vyama vya siasa vilivyokabana uchaguzi wa mitaa

Fukuto la joto la uchaguzi wa Serikali za Mitaa lilipanda, hasa baada ya wagombea 257 kuzuiliwa kwa kuwekewa pingamizi muda mfupi kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini kote.

 

10 years ago

Dewji Blog

Vyama vya Siasa 21 vimesaini Maadili ya uchaguzi mkuu Tanzania

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, akizungumza na wahariri vyombo vya habari Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Julius Mallaba. Picha na Joseph Zablon

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Julius Mallaba. (Picha na Maktaba).

Vyama vya Siasa 21 vinavyotarajiwa kushiriki katika uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na Madiwani baadaye mwaka huu vimesaini Maadili ya uchaguzi yatakayotumika wakati wa kampeni, kupiga kura na wakati wa kutangaza matokeo.

Maadili hayo yanayohusisha Serikali, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Vyama vya Siasa yalisainiwa na Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

NEC, vyama vya siasa vianze na haya kabla ya uchaguzi

Vuguvugu la kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba limeshika kasi hivi sasa.

 

10 years ago

Vijimambo

Utiaji saini waraka wa maadili ya uchaguzi kwa vyama vya siasa

Naibu katibu Mkuu wa Chadema tawi la zanzibar Salum Mwalim akielezea maswala mbalimbali kuhusiana na hali ya Usalama kuelekea katika Uchaguzi mkuu katika hafla ya utiaji Saini waraka wa maadili ya Uchaguzi kwa vyama vya Siasa Grand Palace Zanzibar.Baadhi ya Wajumbe wa vyama vya Siasa waliohudhuria katika hafla ya utiaji Saini waraka wa maadili ya Uchaguzi kwa vyama vya Siasa Grand Palace Zanzibar. Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya ZEC Nassor Khamis Mohammed akifafanua baadhi ya mambo katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani