MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi11 years ago
GPL5 years ago
MichuziVYAMA VYA SIASA 12 VISIVYO NA WAWAKILISHI BUNGENI VYATANGAZA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25,KUSIMAMISHA WAGOMBEA KILA JIMBO
Baadhi ya vyama hivyo ni DP,NRA, AAFP, UMD, UDDP, Makini, TLP,UDP, SAU, NLD, ADC, na CCK ambapo pamoja na mambo mengine vitafanya kampeni katika uchaguzi huo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mratibu wa umoja huo, Rashid Rai amesema wanatangaza kushirikiana katika uchaguzi mkuu kwenye ngazi...
9 years ago
Michuzi9 years ago
GPLKUELEKEA UCHAGUZI... MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAMBULISHA KAMPENI YA AMANI
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Msajili avinyoshea kidole vyama vya siasa, ataka viheshimu Sheria ya Uchaguzi
11 years ago
Michuzi07 Mar
11 years ago
MichuziMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AZUNGUMZA NA WANAHABARI MJINI IRINGA LEO KUHUSU UCHAGUZI WA JIMBO LA KALENGA