Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waangalizi Umoja wa Ulaya wawasili

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

 

UJUMBE wa waangalizi 34 wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU), wamewasili Dar es Salaam kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa uchaguzi mkuu.

Waangalizi  hao wanaungana na kundi kuu la EU EOM la watathmini wa uchaguzi  ambao waliwasili Septemba 11, mwaka huu.

Msafara wa  EU EOM nchini Tanzania, utaongozwa na Mbunge wa Bunge la Ulaya kutoka nchini Uholanzi, Judith Sargentini.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mjini Dar es Salaam jana na Ofisa Habari wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

UMOJA WA ULAYA KUTUMA WAANGALIZI WA UCHAGUZI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo.Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akisaini Hati ya...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua.

Bibi Judith Sargentini Mbunge wa Bunge la ummoja wa Ulaya Friday, September 25, 2015 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kazi ya waangalizi wa muda mrefu itairuhusu EU EOM kufanya tathmini ya kina ya mchakato wa […]

The post Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua. appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo. Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akisaini Hati ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Waangalizi wa Ulaya wazuiliwa Ukraine

Waangalizi wa Ulaya waliotumwa katika eneo la ndege ya Malaysia Airline iliangushwa wamezuiliwa kuona mabaki ya ndege hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Waangalizi Ulaya waikalia kooni ZEC

Wakati sintofahamu ya kisiasa ikiendelea Zanzibar baada ya kufutwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu kutoka Jumuiya ya Ulaya (EU EOM) wametoa wito wa kukamilishwa haraka mchakato wa uchaguzi visiwani humo kwa mujibu wa kanuni za chaguzi shirikishi.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA UMOJA WA JAMHURI YA KOREA, UMOJA WA ULAYA NA PALESTINA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea Hati za Utambulisho za Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016 baada ya kupokea hati zake za utambulisho  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MKUTANO WA PAMOJA KATI YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA KAMATI YA SIASA NA USALAMA YA UMOJA WA ULAYA (EU) MJINI BRUSSELS, UBELGIJI

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), pamoja na Balozi Walter Stevens (Kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa na Usalama ya Umoja wa Ulaya (EU) wakiwa katika mkutano huo. Kushoto ni Balozi Smail Chergui, Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katika Mkutano huo, pamoja na mambo mengine, vyombo hivyo viwili vilikubaliana kuendeleza ushirikiana zaidi katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani