Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sh700 bil kutumika kufuatilia Uchaguzi Mkuu

Zaidi ya Sh720 bilioni zitatumika kuanika ‘uozo’ wakati wa mchakato wa uandikishaji wapiga kura, kura ya maoni na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo. Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akisaini Hati ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Sh. bilioni 268 kutumika Uchaguzi Mkuu mwaka huu

Zaidi ya Sh. bilioni 268 zinatarajiwa kutumikia katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu utakaowapa fursa Watanzania kuchagua madiwani, wabunge na Rais ajae.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, aliyasema hayo jana wakati akiahirisha Bunge mjini Dodoma na kuongeza kuwa maandalizi ya uchaguzi huo yanaenda vizuri.
Alisema vifaa mbalimbali kwa ajili kuufanikisha uchaguzi huo tayari vimeanza kununuliwa.

Pinda alisema kuwa miongoni mwa maandalizi ya uchaguzi huo ni uandikishaji wa daftari la kudumu la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bil 18/- kutumika kwa chanjo

Serikali inatarajia kutumia kiasi cha shilingi bilioni 18 kwa ajili ya chanjo ya surua na ribela inayotarajiwa kutolewa Oktoba 18 mwaka huu nchini kote. Hayo yalisemwa na Ofisa mafunzo na...

 

5 years ago

Michuzi

BIL. 33 KUTUMIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIJAMII NCHINI

Na WAMJW.
Wizara ya Afya, kupitia Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya shilingi bilioni 33.195 ili kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani zilizopewa kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2020/21.

Akiwasilisha Hotuba ya Wizara, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema katika mwaka wa fedha 2020/21 Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia kiasi hicho cha fedha kwa lengo la kuimarisha huduma na mafunzo kwenye...

 

11 years ago

Habarileo

Bil.6.8/-kutumika kulipa fidia Makambako hadi Songea

SERIKALI imetenga zaidi ya Sh bilioni 6.8 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi walioko kandokando mwa barabara kuu kutoka Makambako hadi Songea.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Nape: Ni UPUUZI Kwa ICC Kufuatilia Uchaguzi wa Tanzania

Tuesday, August 25, 2015 Baada ya Muendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC) kusema kuwa wanaufuatilia kwa makini uchaguzi mkuu wa Tanzania kuhakikisha hakuna haki za binadamu zitakazo kiukwa, Katibu wa itikadi na […]

The post Nape: Ni UPUUZI Kwa ICC Kufuatilia Uchaguzi wa Tanzania appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba kutumika Uchaguzi 2015

Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya, imeelekeza kipindi cha mpito ambacho pamoja na mambo mengine, kitaandaa mazingira ya Katiba hiyo kutumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAMTAKA MKEMIA MKUU KUFUATILIA MATUMIZI YA SIGARA YA KIKO YA MAJI (SHISHA)

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imeiagiza Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kufuatilia matumizi ya sigara ya kiko ya maji (Shisha) katika kumbi za starehe  za hapa nchini kwa kuwa sigara hizo zinahusishwa na  matumizi ya madawa ya kulevya.
Akizungumza katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanafunzi na walimu bora wa masomo ya kemia na biolojia kwa mwaka 2013-2014 iliyofanyika leo Ijumaa (Septemba 18, 2015), Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,  Dkt Donan Mmbando alisema...

 

9 years ago

Bongo Movies

Ray Atoa ya Moyoni Wenzake Kutumika Kwenye Uchaguzi Huu

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi ‘Ray’  afunguka haya kuelekea October 25 siki ya kupiga kura.

 (FREEDOM OF SPEECH)

Kijana mwenye upeo mkubwa na kuona mbali anayetambua matatizo magumu ya chi hii hawezi hakapost ujinga kwa kusema chagua chama flani kwa kufuata mkumbo au kupewa maagizo na watu wenye maslahi yao binafsi.

Kwa kupost kitu ambacho hata akijui na wala yeye mwenyewe hana uhakika wa maisha yake ya baadaye dahaaa ni aibu kubwa sana kaa tafakari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani