Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZARA YA AFYA YAMTAKA MKEMIA MKUU KUFUATILIA MATUMIZI YA SIGARA YA KIKO YA MAJI (SHISHA)

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imeiagiza Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kufuatilia matumizi ya sigara ya kiko ya maji (Shisha) katika kumbi za starehe  za hapa nchini kwa kuwa sigara hizo zinahusishwa na  matumizi ya madawa ya kulevya.
Akizungumza katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanafunzi na walimu bora wa masomo ya kemia na biolojia kwa mwaka 2013-2014 iliyofanyika leo Ijumaa (Septemba 18, 2015), Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,  Dkt Donan Mmbando alisema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKEMIA MKUU ABORESHA MATUMIZI YA KEMIKALI ZA MAABARA

Msimamizi wa Utafiti na Mifumo ya Ubora katika ofisi ya Mkemia Mkuu, Benny Mallya (kushoto) akitoa ufafanuzi.  Kulia ni Afisa Habari Idara ya Maelezo, Fatma Salum. Wanahabari waliofika kwenye hafla hiyo. Mallya akionyesha Cheti cha  Kimataifa cha Ubora katika Uthibiti na Ukaguzi katika ofisi ya Mkemia Mkuu . WAKALA Mkuu…

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAJI KUTENGA SHILINGI BILIONI 2, KUPELEKA MAJI MASHULENI NA VITUO VYA AFYA



Wanafunzi wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Tumaini iliyopo wilayani Iramba mkoani Singida wakifurahia kupata bomba la maji kwa ajili ya kutakasa mikono ili kujikinga na Covid 19 lililo jengwa na Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Singida (SUWASA)  Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo (kulia) akika utepe kuashiria uzinduzi wa bomba la maji lililojengwa na wizara hiyo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI MBAGALA KUU,JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakizunguka kuangalia mradi wa maji Mbagala Kuu. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakikata...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAANDAA WARSHA YA KUPITIA SHERIA JUU YA MATUMIZI YA TUMBAKU.

 Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Mohd Dahoma, akifungua warsha ya kupitia sheria ya kudhibiti matumizi ya tumbaku Zanzibar iliyofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resourt Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.  Mshauri wa Ufundi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika William Onzivu akizungumza na washiriki wa warsha  hiyo (hawapo pichani) katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resourt. Afisa kutoka Bodi ya Mapato Tanzania (TRA) akitoa mchango katika warsha ya kupitia sheria...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII AKEMEA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

Katibu Mkuu wizara ya Maendeleo ya Jamii Anna Maembe akizungumza na wataalamu wa wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa jana. Kushoto ni Mkuu wa wilaya Moshi Chang'a na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Herbert Bilia. DC wa Kalambo Mkoani Rukwa Moshi Chang'a akikabidhi hundi ya shilingi milioni 7 kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo Herbert Bilia. Kulia ni Katibu Mkuu wazara ya Meanedeleo ya Jamii aliyetoa hundi hiyo.
Mkuu wa wilaya Kalambo Mkoani Rukwa Moshi Chang'a akizungumza wakati wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mkemia Mkuu, mahakama walaumiwa

WADAU wa Tume ya Ushindani (FCC) wameilaumu Mahakama na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, kuwa si wafuatiliaji na wanazorotesha kesi za wafanyabiashara wanaouza bidhaa bandia.

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AJIONEA UHARIBIFU MKUBWA WA MABOMBA JANGWANI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko leo ametembelea eneo la Jangwani, Darajani, barabara ya Morogoro kujionea uharibifu mkubwa wa mabomba ya maji.
Mabomba hayo ya inchi 16 yenye urefu wa mita 12 yamezolewa na maji kutokana na athari iliyoletwa na mvua kubwa ya mwishoni mwa wiki inayoendelea jijini Dar es Salaam.
“Ni athari kubwa ambayo imesababishwa na mvua hii na mpaka kukata mabomba ya maji, ni muda mrefu tangu mvua ya aina huu kutokea Dar es Salaam”, alisema ...

 

11 years ago

Habarileo

Mkemia Mkuu waidai polisi bilioni 1.2/-

OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali inaidai Jeshi la Polisi deni la Sh bilioni 1.2 linalotokana na sampuli wanazozipeleka kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi na kupatikana kwa majibu kwenye vielelezo vya kesi mbalimbali.

 

11 years ago

Habarileo

Wizara ya Habari kufuatilia wadeni wa TSN

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo inatarajia kufuatilia kwa karibu kuhakikisha taasisi zote za serikali, zinazodaiwa na Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Ltd, zinalipa madeni hayo haraka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani