Wizara ya Habari kufuatilia wadeni wa TSN
WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo inatarajia kufuatilia kwa karibu kuhakikisha taasisi zote za serikali, zinazodaiwa na Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Ltd, zinalipa madeni hayo haraka.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo afanya ziara BASATA, TBC na TSN!
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel(aliyekaa mwenye miwani) akipata maelekezo jinsi gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa mtumishi wa Standard News Papers (TSN) mapema jana jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kikazi na kuangalia utendaji wa kazi.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (wa kwanza kushoto) akiangalia mitambo ya kurushia matangazo ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO AFANYA ZIARA BASATA,TBC NA TSN.
11 years ago
Habarileo31 Jan
TSN, taasisi za habari zakubaliana kushirikiana
TAASISI zilizo chini ya habari, vijana, utamaduni na michezo zimeingia makubaliano ya kushirikiana katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo. Makubaliano ya taasisi hizo, ikiwemo Kampuni ya uchapishaji wa magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard (Newspapers) Limited (TSN) yalifikiwa jana katika mkutano uliokutanisha wizara na taasisi hizo.
10 years ago
Habarileo18 Aug
TSN yaahidi kuendelea kuandika habari za wananchi
KAMPUNI ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Ltd imesisitiza kuendelea kujikita zaidi katika kuandika habari za wananchi zisizojadili watu.
9 years ago
Global Publishers15 Dec
9 years ago
Michuzi18 Sep
WIZARA YA AFYA YAMTAKA MKEMIA MKUU KUFUATILIA MATUMIZI YA SIGARA YA KIKO YA MAJI (SHISHA)
Akizungumza katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanafunzi na walimu bora wa masomo ya kemia na biolojia kwa mwaka 2013-2014 iliyofanyika leo Ijumaa (Septemba 18, 2015), Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt Donan Mmbando alisema...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-bscBGGDPy64/Vm-z16fSN-I/AAAAAAAIMdw/xV3H_zekuuI/s72-c/PIX4.jpg)
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, wasanii na Michezo afanya ziara TSN
![](http://4.bp.blogspot.com/-bscBGGDPy64/Vm-z16fSN-I/AAAAAAAIMdw/xV3H_zekuuI/s640/PIX4.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-x0UDGPCFHNM/Vm-z1Ul80oI/AAAAAAAIMdc/VaLJ6KQ43Xc/s640/PIX3.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kyKEqJeU0dQ/XkbUXVt5obI/AAAAAAALdck/akUZbzxZrrMf_SOfP-sG56-HrAX3LYqsgCLcBGAsYHQ/s72-c/Pix-00.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Habari akutana na watumishi wa wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam
![](https://1.bp.blogspot.com/-kyKEqJeU0dQ/XkbUXVt5obI/AAAAAAALdck/akUZbzxZrrMf_SOfP-sG56-HrAX3LYqsgCLcBGAsYHQ/s640/Pix-00.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/Pix-02.jpg)