KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO AFANYA ZIARA BASATA,TBC NA TSN.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel(wa kwanza kushoto) akiangalia mitambo ya kurushia matangazo ya Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati alipofanya ziara ya kikazi katika minara ya shirika hilo leo hii Kisarawe.Profesa Elisante amefanya ziara katika Taasisi tatu zilizo chini ya Wizara hiyo ambazo ni Baraza la Sanaa Tanzabia (BASATA),Tanzania Standard Newspapers(TSN) na Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) lengo likiwa ni kufahamiana na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo afanya ziara BASATA, TBC na TSN!
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel(aliyekaa mwenye miwani) akipata maelekezo jinsi gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa mtumishi wa Standard News Papers (TSN) mapema jana jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kikazi na kuangalia utendaji wa kazi.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (wa kwanza kushoto) akiangalia mitambo ya kurushia matangazo ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati...
9 years ago
Michuzi14 Dec
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo afanya ziara TBC na BASATA.
![nap1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/nap1.jpg)
![nap2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/nap2.jpg)
![nap4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/nap4.jpg)
Waziri wa...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO AFANYA USAFI NA WANANCHI WA UPANGA MASHARIKI
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyeshika koleo akishiriki zoezi la usafi na wananchi wa Kata ya Upanga mashariki ikiwa ni kuitikia wito wa
kutikia agizo la Mh. Rais John Pombe Magufuli la kufanya usafi siku ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania .
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyeshika toroli akishiriki zoezi la usafi na wananchi wa Kata ya Upanga mashariki ikiwa ni...
9 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA HABARI , VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO ATEMBELEA MABANDA MAONYESHO YA WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA.
9 years ago
MichuziKatibu mtendaji BAKITA amkabidhi kamusi kuu mpya ya kiswahili katibu mkuu wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-bscBGGDPy64/Vm-z16fSN-I/AAAAAAAIMdw/xV3H_zekuuI/s72-c/PIX4.jpg)
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, wasanii na Michezo afanya ziara TSN
![](http://4.bp.blogspot.com/-bscBGGDPy64/Vm-z16fSN-I/AAAAAAAIMdw/xV3H_zekuuI/s640/PIX4.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-x0UDGPCFHNM/Vm-z1Ul80oI/AAAAAAAIMdc/VaLJ6KQ43Xc/s640/PIX3.jpg)
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo afungua maoyesho ya 10 ya filamu za Asia
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akifungua maonyesho ya 10 ya Filamu za Asia.Pembeni yake ni mabalozi wa nchi mbalimbali za Asia walihoudhuria uzinduzi huo.Maonyesho Hayo yatafanyika kuanzia tarehe 8-17 desemba katika ukumbi wa Century Cinemax Dar Free Market Oysterbay.
Balozi wa Japan nchini Tanzania Bw,Masaki Okada(wa kwanza kushoto) akizungumza jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole...