Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo afanya ziara TBC na BASATA.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiangalia moja ya kazi za wasanii katika kiwanda cha kutengenezea batiki alipotembelea ofisi za Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) leo hii jijini Dar es Salaam.Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi Lilian Beleko (kulia) akimkaribisha kwa furaha waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye wizarani hapo leo hii jijini Dar es Salaam.
Waziri wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO AFANYA ZIARA BASATA,TBC NA TSN.
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo afanya ziara BASATA, TBC na TSN!
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel(aliyekaa mwenye miwani) akipata maelekezo jinsi gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa mtumishi wa Standard News Papers (TSN) mapema jana jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kikazi na kuangalia utendaji wa kazi.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (wa kwanza kushoto) akiangalia mitambo ya kurushia matangazo ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati...
9 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Habari, Utamaduni, wasanii na Michezo afanya ziara TSN
9 years ago
MichuziNaibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura atembelea Idara ya habari
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo. Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akimkabidhiwa moja ya vipeperushi vinavyotolewa na Bodi ya Filamu Tanzania ambavyo vina lengo vya...
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ahaidi kusimamia kazi za Wasanii kwa nguvu zote
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiongea na wadau mbalimbali kutoka BASATA,COSOTA,BODI YA FILAMU,CMEA NA WASANII jana jijini Dar es Salaam juu ya kuendelea kusimamia haki ya wasanii na kuhakikisha kila msanii anapata anachostahili kupitia Sanaa yake na kwamba serikali imeweka nguvu kubwa katika eneo hilo.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage (kulia) akiongea waandishi wa habari kuhusu vyombo vya habari(television na Redio) kuanza kulipia...
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO, ANNASTAZIA WAMBURA ATEMBELEA TCRA LEO JIJINI DAR.
9 years ago
MichuziWaziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ampongeza Mbwana Samatta kwa kujiunga na klabu ya Genk ya Ubelgiji
5 years ago
MichuziRAIS DKT.SHEIN AFANYA MKUTANO NA UONGOZI WA WIZARA YA VIJANA,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO
11 years ago
GPLWAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM