Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura atembelea Idara ya habari


 Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo. Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akimkabidhiwa moja ya vipeperushi vinavyotolewa na Bodi ya Filamu Tanzania ambavyo vina lengo vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO, ANNASTAZIA WAMBURA ATEMBELEA TCRA LEO JIJINI DAR.

Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura akipewa maelekezo na Naibu Mkurugenzi wa maswala ya utangazaji wa Televisheni wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Frederick Ntobi mara baada ya kutembelea chumba cha maswala ya mawasiliano hasa ya Televisheni  leo jijini Dar es Salaam.Naibu Mkurugenzi wa maswala ya Posta wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Haruni Lemanya akizungumza na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura pamoja na baadhi...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo afanya ziara TBC na BASATA.

nap1Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiangalia moja ya kazi za wasanii katika kiwanda cha kutengenezea batiki alipotembelea ofisi za Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) leo hii jijini Dar es Salaam.nap2Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi Lilian Beleko (kulia) akimkaribisha kwa furaha waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye wizarani hapo leo hii jijini Dar es Salaam.nap4
Waziri wa...

 

9 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA MAKAMPUNI YA PROIN PROMOTION ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO

 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Promotion Ltd Bw. Johnson Lukaza (kushoto) alipotembelea banda la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo katika maonyesho ya Wiki ya Vijana yanayofanyika kitaifa mkoani Dodoma leo.Kulia ni Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo. Katibu Mtendaji wa Bodi ya Ukaguzi wa Filamu na Michezo ya kuigiza Tanzania Bibi. Joyce Fissoo(kushoto) akielezea jambo kwa Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ahaidi kusimamia kazi za Wasanii kwa nguvu zote

nape-7939

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiongea na wadau mbalimbali kutoka BASATA,COSOTA,BODI YA FILAMU,CMEA NA WASANII jana jijini Dar es Salaam juu ya kuendelea kusimamia haki ya wasanii  na kuhakikisha kila msanii anapata anachostahili kupitia Sanaa yake na kwamba serikali  imeweka nguvu kubwa katika eneo hilo.

waziri wa viwanda-7920

Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage (kulia) akiongea waandishi wa habari kuhusu vyombo vya habari(television na Redio) kuanza kulipia...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, wasanii na Michezo afanya ziara TSN

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akisoma gazeti lenye kurasa za matangazo alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel Nderumaki.Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akifuatilia maelezo namna gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ampongeza Mbwana Samatta kwa kujiunga na klabu ya Genk ya Ubelgiji

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye(kushoto) akiongea na Mchezaji wa Timu ya TP Mazembe Mbwana Samatta(kulia) leo jijini Dar es salaam.Mbwana amemtembelea waziri Nape ofisini kwake na kuomba baraka za wizara katika kinyanganyiro cha kugombea uchezaji bora wa afrika anayechezea ligi za ndani na pia kumpa habari njema za yeye kutegemea kujiunga na timu ya Ubelgiji ya Genk. Mchezaji wa TP Mazembe Mbwana Samatta(wa kwanza kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapo...

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo apokea zawadi toka Kamati ya vibali vya filamu.

Mjumbe wa Kamati ya vibali vya Filamu Bw. Andrew Makungu akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo sasa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga zawadi kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Nyuma Mwenye Tai ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel na kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisoo. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akionesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani